Ngulyatimbaya
Senior Member
- Sep 19, 2022
- 176
- 207
Naunga mkono hoja,akishapumuzika amkabidhi kijiti mama yako!Mbowe angepumzika uenyekiti tu.
sasa anatofauti gani na nape na mbatia awali kwa mfano?πMwenyekiti wa Chama ni dhamana ndio sababu anapeperusha bendera π
kwahiyo hapo umeona umeongea pwaintiiiii π€£Wewe huwezi kuelewa.
johnthebaptist acheni kujificha kwenye mahekalu yenu huko Masaki tokeni muwafundishe Hawa maamuma wenu Serikali inavyoendeshwa.
Kabisa Mzee Jongo, wewe unaelewa zaidi..ππππkwahiyo hapo umeona umeongea pwaintiiiii π€£
mnapeana matumaini kipwagu na pwaguzi sana dah π€£
mimi for sure mmenifirahisha tu bila sababu wakurugenzi wangu wa hoja na vihoja π€£Kabisa Mzee Jongo, wewe unaelewa zaidi..ππππ
Sawa Mzee wa mikingamo.mimi for sure mmenifirahisha tu bila sababu wakurugenzi wangu wa hoja na vihoja π€£
nimefurahi sana kwakweli π
namshukuru sana Mzee kitimbankwiri πSawa Mzee wa mikingamo.
Hiki ndicho ambacho kila mtu anashangaa...Kwani waziri lazima angee??