Ngulyatimbaya
Senior Member
- Sep 19, 2022
- 176
- 207
Naunga mkono hoja,akishapumuzika amkabidhi kijiti mama yako!Mbowe angepumzika uenyekiti tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja,akishapumuzika amkabidhi kijiti mama yako!Mbowe angepumzika uenyekiti tu.
sasa anatofauti gani na nape na mbatia awali kwa mfano?🐒Mwenyekiti wa Chama ni dhamana ndio sababu anapeperusha bendera 😄
kwahiyo hapo umeona umeongea pwaintiiiii 🤣Wewe huwezi kuelewa.
johnthebaptist acheni kujificha kwenye mahekalu yenu huko Masaki tokeni muwafundishe Hawa maamuma wenu Serikali inavyoendeshwa.
Kabisa Mzee Jongo, wewe unaelewa zaidi..😂😄😀😃kwahiyo hapo umeona umeongea pwaintiiiii 🤣
mnapeana matumaini kipwagu na pwaguzi sana dah 🤣
mimi for sure mmenifirahisha tu bila sababu wakurugenzi wangu wa hoja na vihoja 🤣Kabisa Mzee Jongo, wewe unaelewa zaidi..😂😄😀😃
Sawa Mzee wa mikingamo.mimi for sure mmenifirahisha tu bila sababu wakurugenzi wangu wa hoja na vihoja 🤣
nimefurahi sana kwakweli 🐒
namshukuru sana Mzee kitimbankwiri 🐒Sawa Mzee wa mikingamo.
Hiki ndicho ambacho kila mtu anashangaa...Kwani waziri lazima angee??