Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Kwani waziri lazima angee??
Hiki ndicho ambacho kila mtu anashangaa...

Waziri Hamad Masauni hakuwa na busara wala hekima ya kusoma mazingira na kujua apaswalo kutenda au kutotenda kwa wakati huo....

Bahati mbaya hata alipopata nafasi ya kuongea, akaanza kutapika ujinga na upuuzi uleule wa ki - CCM na hicho kikawaudhi waombolezaji....
 
Back
Top Bottom