Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Ingependeza sana lakini ni waste opportunity kwa Mbowe kwenda kuwatuliza.. huyu ,Mbowe labda na yeye ni wao... watu wana hasira yeye anaeenda kuwatuliza, angewaachia wajimwambafy na kutoa hasira au duku duku zao...
Huyu Mbowe amewakuta hao Wa tanga wapolee, ingekua Songea mbna wangeanza na yeye, aachage ujinga wa maridhiano butuu.

Au ana maslahi na haya yanayoendelea? Simuelewagi kabisaa. Lol
 
Marehemu Ally Hassan Mwinyi alijiuzuru uwaziri huo kwa mauaji yaliyotokea Shinyanga mwaka sikumbuki kwa mauaji ya Imani za kishirikina Tena waliuana kwa vifaa vya jadi,sembuse bunduki!
Alijiuzulu baada ya kila kitu kuwa wazi na serikali ikionekana ina makosa ya dhahiri, suala la Mwinyi ni tofauti na hili la Kibao ambalo halina ushahidi wenye kujitosheleza.

Tatizo la CHADEMA ni siasa za kishamba za kupenda kuona mifarakano ikitokea kati ya serikali na vyama vya siasa.

Hawezi kujiuzulu waziri bila ya kuwepo ushahidi kamili wa suala hili kwa mapana yake.
 
Si wanadai walijitambulisha kwamba wao ni polisi!
 
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.

Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
Soma zaidi:
==>CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
==> Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
==> Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
==> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
==> Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
Tanga safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ccm maseng£ Sana haya majitu ,yaani yanaua watu na bila aibu yanahudhuria misiba na kuropoka huko , mazafakaz ,huyo fala wangemfukuza hapo msibani
Useng£ sana huu

Ninachukia fala anayesema kwamba hamna uthibitisho kwa ni polisi ndio wamehusika wakati ni wiki tatu tu zimepita tangia akina Sugu ,Mnyika nk watekwe na polisi mbeya na kwenda kupigwa sana na kujeruhiwa , huyo Sugu wakampeleka hospitali gani hapo Dar na mfumo ni ule ule wanawachukua watu na kuwasafirisha umbali mrefu kwenda kuwatesa na kuwaumiza na kuwatelekeza , wamefanya hivyo hivyo kwa akina Sativa pia .

Leo hii tunaongea akina soka ,Twaha na wengine wamepotea mpaka muda huu hawajulikani walipo na mara ya mwisho wamechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi .
 
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.

Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
Soma zaidi:
==>CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
==> Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
==> Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
==> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
==> Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
Tunapoelekea wawe wanafukuzwa kabisa hata wasikaribie. Unafiki wa waziwazi watu wamechoka. Walisema utekaji ni drama sasa ameenda kuangalia drama? Anaombea dua drama?
 
Back
Top Bottom