Huyu Mbowe amewakuta hao Wa tanga wapolee, ingekua Songea mbna wangeanza na yeye, aachage ujinga wa maridhiano butuu.Ingependeza sana lakini ni waste opportunity kwa Mbowe kwenda kuwatuliza.. huyu ,Mbowe labda na yeye ni wao... watu wana hasira yeye anaeenda kuwatuliza, angewaachia wajimwambafy na kutoa hasira au duku duku zao...
Alijiuzulu baada ya kila kitu kuwa wazi na serikali ikionekana ina makosa ya dhahiri, suala la Mwinyi ni tofauti na hili la Kibao ambalo halina ushahidi wenye kujitosheleza.Marehemu Ally Hassan Mwinyi alijiuzuru uwaziri huo kwa mauaji yaliyotokea Shinyanga mwaka sikumbuki kwa mauaji ya Imani za kishirikina Tena waliuana kwa vifaa vya jadi,sembuse bunduki!
Si wanadai walijitambulisha kwamba wao ni polisi!Alijiuzulu baada ya kila kitu kuwa wazi na serikali ikionekana ina makosa ya dhahiri, suala la Mwinyi ni tofauti na hili la Kibao ambalo halina ushahidi wenye kujitosheleza.
Tatizo la CHADEMA ni siasa za kishamba za kupenda kuona mifarakano ikitokea kati ya serikali na vyama vya siasa.
Hawezi kujiuzulu waziri bila ya kuwepo ushahidi kamili wa suala hili kwa mapana yake.
2022, eneo la Madaba.Mwaka gan mkuu??
Hapana CCM lazima iondoke kwanza ndio mambo yawe mazuri nchi hii!Sasa wangemaliza kwanza hiyo shughuli ya mazishi Kisha mambo MENGINE yafuatie.,ni ibada hiyo...
Hapo ndio utajua jinsi Mbowe alivyo na nguvu nchi hii.Kama Mbowe kawazuia hao waombolezaji amekosea sana, mbowe ndie huwa anarudishaga nyuma sana mapambano nchi hii.
Tanga safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMsiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.
Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
Soma zaidi:
==>CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
==> Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
==> Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
==> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
==> Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
Huo mfumo c ni watu?Masauni kujiuzulu sio suluhisho, suluhisho ni mfumo mzima wa uongozi.
Hii tabia imekuwepo muda na itaendelea, hao kina Masauni ni watekelezaji tu, hata hizo order wafike msibani nadhani walijua nini kitatokea lakini inawabidi.
Mnafiki huyoAlafu huyu mbowe mbona simuelewi?yeye ana agenda gani?kwa unyama ule hakutakiwa kukanyaga hata msibani,achilia mbali na kupewa maiki
Mwinyi alipojiuzuru miaka hiyo, wale waliokufa walifufuka!?Hiyo ndio ingepelea message huko serikalini au ?
Tunapoelekea wawe wanafukuzwa kabisa hata wasikaribie. Unafiki wa waziwazi watu wamechoka. Walisema utekaji ni drama sasa ameenda kuangalia drama? Anaombea dua drama?Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.
Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
Soma zaidi:
==>CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
==> Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
==> Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
==> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
==> Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
Wanamalizana hapo hapo, hana jipya huyo waziriSasa wangemaliza kwanza hiyo shughuli ya mazishi Kisha mambo MENGINE yafuatie.,ni ibada hiyo...