Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Inategemea dua inasomwa na nani , Kama ni muuaji huyohuyo huo unakuwa ni uchuro, Wanasema Adui unaemuweza usimuachie MUNGU, shughulika naeWewe Mungu? Dua inaelekezwa kwa Mungu wewe unaikatiza kwa kuzomea wewe ndie Mungu mjibu dua?
Watu dua ikipigwa hunyamaza sababu anayepelekewa ni Mungu sio wewe kibaka uliye kwenye mazishi
Kwanza mimi naona hawa Viongozi wetu wa dini wengi wao huwa wanafiki, Kwani walishindwa nini kuongoza Dua wenyewe mpaka wampe Masauni kisa ni Kiongozi wa serikali, Huku ni kunajisi IBADA yenyewe,, hawa viongozi wa serikali hii ya ccm wamejaa damu mikononi mwaoNamna hii, namna hii. Ni mwanzo mzuri
kwahiyo uenyekiti wa chama cha siasa sio dhamana ni mtu, right?🐒Tofauti na Viongozi wengi wa Upinzani na baadhi wa CCM Mh Mbowe anajua Siasa na Protocols
Kwanza ieleweke Waziri ni Dhamana siyo Mtu ndio sababu Nape Nauye alipotumbuliwa tu Dereva aliondoka kwa Kasi baada ya kubadilisha plate number huku Nape kama Nape akitelekezwa Ukumbini
Aliyekuja kumzika Ally Mohamed Kibao ni Waziri wa Mambo ya Ndani siyo Masauni kama Alhaj
Sasa ilikuwa ni sahihi kabisa kusikiliza Serikali inasemaje na Siyo Kuizomea
Ni hilo tu
Wewe huwezi kuelewa.kwahiyo uenyekiti wa chama cha siasa sio dhamana ni mtu, right?🐒
Mwenyekiti wa Chama ni dhamana ndio sababu anapeperusha bendera 😄kwahiyo uenyekiti wa chama cha siasa sio dhamana ni mtu, right?🐒
Uongozi ni Hekima siyo kukurupuka ndio sababu wengi wanafeliWewe huwezi kuelewa.
johnthebaptist acheni kujificha kwenye mahekalu yenu huko Masaki tokeni muwafundishe Hawa maamuma wenu Serikali inavyoendeshwa.
Darsa lazima litolewe. Tumepotezwa umbali mrefu Sana na hadi turudi njia Kuu, lazima kusikike miguno ya maumivu na mayowe ya kuweweseka.Uongozi ni Hekima siyo kukurupuka ndio sababu wengi wanafeli
Mbunge anasema " Watu wangu" na Mijitu inampigia makofi kwamba wao ndio Watumwa 😀😀😀
sio sawaAlipaswa kulambwa makofi kama Mwinyi.
Ni sawa.sio sawa
Pale hapakuwa Kongamano la Waislamu 😄Alipaswa kulambwa makofi kama Mwinyi.
Mkuu, uliambiwa na nani kuwa amemuwakilisha raisi?Tofauti na Viongozi wengi wa Upinzani na baadhi wa CCM Mh Mbowe anajua Siasa na Protocols
Kwanza ieleweke Waziri ni Dhamana siyo Mtu ndio sababu Nape Nauye alipotumbuliwa tu Dereva aliondoka kwa Kasi baada ya kubadilisha plate number huku Nape kama Nape akitelekezwa Ukumbini
Aliyekuja kumzika Ally Mohamed Kibao ni Waziri wa Mambo ya Ndani siyo Masauni kama Alhaj
Sasa ilikuwa ni sahihi kabisa kusikiliza Serikali inasemaje na Siyo Kuizomea
Ni hilo tu
Unaumwa ulanzi weweTofauti na Viongozi wengi wa Upinzani na baadhi wa CCM Mh Mbowe anajua Siasa na Protocols
Kwanza ieleweke Waziri ni Dhamana siyo Mtu ndio sababu Nape Nauye alipotumbuliwa tu Dereva aliondoka kwa Kasi baada ya kubadilisha plate number huku Nape kama Nape akitelekezwa Ukumbini
Aliyekuja kumzika Ally Mohamed Kibao ni Waziri wa Mambo ya Ndani siyo Masauni kama Alhaj
Sasa ilikuwa ni sahihi kabisa kusikiliza Serikali inasemaje na Siyo Kuizomea
Ni hilo tu
Aliyekufa ni muislam hata angekuwa Yohana upanga wa kumkata yuda sikio ungetolewa.Pale hapakuwa Kongamano la Waislamu 😄
WaziriMkuu, uliambiwa na nani kuwa amemuwakilisha raisi?