Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Wewe Mungu? Dua inaelekezwa kwa Mungu wewe unaikatiza kwa kuzomea wewe ndie Mungu mjibu dua?

Watu dua ikipigwa hunyamaza sababu anayepelekewa ni Mungu sio wewe kibaka uliye kwenye mazishi
Inategemea dua inasomwa na nani , Kama ni muuaji huyohuyo huo unakuwa ni uchuro, Wanasema Adui unaemuweza usimuachie MUNGU, shughulika nae
 
Namna hii, namna hii. Ni mwanzo mzuri
Kwanza mimi naona hawa Viongozi wetu wa dini wengi wao huwa wanafiki, Kwani walishindwa nini kuongoza Dua wenyewe mpaka wampe Masauni kisa ni Kiongozi wa serikali, Huku ni kunajisi IBADA yenyewe,, hawa viongozi wa serikali hii ya ccm wamejaa damu mikononi mwao
 
Tofauti na Viongozi wengi wa Upinzani na baadhi wa CCM Mh Mbowe anajua Siasa na Protocols

Kwanza ieleweke Waziri ni Dhamana siyo Mtu ndio sababu Nape Nauye alipotumbuliwa tu Dereva aliondoka kwa Kasi baada ya kubadilisha plate number huku Nape kama Nape akitelekezwa Ukumbini

Aliyekuja kumzika Ally Mohamed Kibao ni Waziri wa Mambo ya Ndani siyo Masauni kama Alhaj

Sasa ilikuwa ni sahihi kabisa kusikiliza Serikali inasemaje na Siyo Kuizomea

Ni hilo tu
 
kwahiyo uenyekiti wa chama cha siasa sio dhamana ni mtu, right?🐒
 
Tofauti na Viongozi wengi wa Upinzani na baadhi wa CCM Mh Mbowe anajua Siasa na Protocols

Kwanza ieleweke Waziri ni Dhamana siyo Mtu ndio sababu Nape Nauye alipotumbuliwa tu Dereva aliondoka kwa Kasi baada ya kubadilisha plate number huku Nape kama Nape akitelekezwa Ukumbini

Aliyekuja kumzika Ally Mohamed Kibao ni Waziri wa Mambo ya Ndani siyo Masauni kama Alhaj

Sasa ilikuwa ni sahihi kabisa kusikiliza Serikali inasemaje na Siyo Kuizomea

Ni hilo tu
Mkuu, uliambiwa na nani kuwa amemuwakilisha raisi?
 
Tofauti na Viongozi wengi wa Upinzani na baadhi wa CCM Mh Mbowe anajua Siasa na Protocols

Kwanza ieleweke Waziri ni Dhamana siyo Mtu ndio sababu Nape Nauye alipotumbuliwa tu Dereva aliondoka kwa Kasi baada ya kubadilisha plate number huku Nape kama Nape akitelekezwa Ukumbini

Aliyekuja kumzika Ally Mohamed Kibao ni Waziri wa Mambo ya Ndani siyo Masauni kama Alhaj

Sasa ilikuwa ni sahihi kabisa kusikiliza Serikali inasemaje na Siyo Kuizomea

Ni hilo tu
Unaumwa ulanzi wewe
 
Back
Top Bottom