Tafsiri kwa Picha!

Maana naona paka keshalala chali... sasa na hii wiki iliyobarikiwa na preta, hatukawii kuichakachua
Ili tuwaenzi wadada watupendao sana wa JF, wiki hii ni chakachua free week.
 
Hahahhaha jamani na huu unene imekula kwangu chocolate siachi kamwe!! By the way nitumie via PM au blututh hahahaha

Sasa huyu paka ndo kusema?......

...'kalala' chali? mnh...anategea tu hapo! kumbe nyie mlikuwa hamu msomi Nyamayao mkamuelewa ee???! ha ha ha..
 
physco. te te te kidney. Infidelity at its best
 
Congrats mkuu... it doesnt matter pumba na mchele kwani bila pumba huwezi ku-appreciate mchele... nothing but love for ya

keep pumping those posts as they reduce stress in our daily lives

Acidic
 
Unajua ukiishi na mwenzio mnajuana, siyo siku zote watu lazima mlale kwa kukumbatiana au kufanya tendo la ngono. Kuna siku you feel to be alone in bed, ugeukie huku na mwenzio ageukie kule.

hawa ninachoona mimi ni wana relax.

mimi nawaona kama wanajutia!
'hapaliki wala hapalaliki!'

...'kalala' chali? mnh...anategea tu hapo! kumbe nyie mlikuwa hamu msomi Nyamayao mkamuelewa ee???! ha ha ha..

hiyo ndio niliitumia jikoni, hapo nimevaa ka g-string.....bwana weee, hujaumia lakini hushikiki popote mpaka ashike mahala nyeti.
 
hiyo ndio niliitumia jikoni, hapo nimevaa ka g-string.....bwana weee, hujaumia lakini hushikiki popote mpaka ashike mahala nyeti.

Ni kama vile unachaji simu halafu within 1 hour inakwambia BATTERY FULL
 
unajua nimeshangaa mpaka sasa hii thread haijapelekwa kwa wakubwa,kweli busy na uchaguzi.....

...acheni kubeep basi, mweehhh...
Jumatatu ijayo muda kama huu mnadhani tutakuwa na muda wa kujadili haya?
Sheikh Yahya keshasema 'mmoja atakufa', mimi nausubiria tu huo msiba hapa.
 
...acheni kubeep basi, mweehhh...
Jumatatu ijayo muda kama huu mnadhani tutakuwa na muda wa kujadili haya?
Sheikh Yahya keshasema 'mmoja atakufa', mimi nausubiria tu huo msiba hapa.

Hadi jumatatu ndo itahamishwa aisee...
In the meantime Nyamayao/MJ1 keep flowing...
 
mimi nawaona kama wanajutia!
'hapaliki wala hapalaliki!'

Jamaa anawaza, .....mmh! huyu hanijui, ngoja kesho, I will call sick in the office, then naenda zangu kupumzika na yule Eliza wa IFM.
 
unajua nimeshangaa mpaka sasa hii thread haijapelekwa kwa wakubwa,kweli busy na uchaguzi.....

labda kuna viwango vipya vya kuhamisha na hii haijifikia kabisa hata kiduchu viwango vipya:hungry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…