Tafsiri kwa Picha!

Tafsiri kwa Picha!

Mh... bidada... hata kwenye ndoa kongwe kuna siku bashasha kama za hao jamaa

hasa watoto wakienda kwa ano au anti nafasi bwelele

we haya we

Aksante kwa kunitoa hofu na kunirudishia imani juu ya hii institution
 
...umeona ee? haya.
bora sasa na thread ifungwe, 'majungu' yeshakuwa mengi.
:closed_2:

Kaka Acid ametuhakikishia kuwa sometimes huwa kuna bashasha humo na si siku zote huwa ni blue monday.... ngoja nianze kufikiria kuingia humo lol!
 
B727BC716FD04E47924BEF51C07DD15A.ashx

...If walls could talk!....

Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!

Dada anaonyesha anataka/amekosa kitu hivyo kinampa mawazo wakati mwenzie yupo hoi na usingizi wa pono!! anahitaji kumwelezea mwenza wake hisia zake!!
 
...BJ,
wala hastahili huruma huyu,...
kama anachokitaka kipo hapo hapo kitandani sinikiasi cha kugeuka tu?, au kama walivyotufunda MwanajamiiOne na Nyamayao leo,..ajivishe khanga ya India, kisha ampitie kwa juu as if kakosea pa kushukia (kitandani!)
 
BJ hiyo avatar mpya imenimaliza kabisa. Naona mkono wangu:fish2: unakulisha strawberry:whoo:hujachacha
 
...BJ,
wala hastahili huruma huyu,...
kama anachokitaka kipo hapo hapo kitandani sinikiasi cha kugeuka tu?, au kama walivyotufunda MwanajamiiOne na Nyamayao leo,..ajivishe khanga ya India, kisha ampitie kwa juu as if kakosea pa kushukia (kitandani!)

lol ampitie juu kivipi? hebu toa demo basi:tape:
 
...la la la...!,
msubirie Nyamayao akupe maelezo ya kina hizo 'kama sutra' kesho akiamka.. (na thread ikiwa imesalimika na fagio la chuma)
 
Naiona ikielekea kule, walau huyu dada akifanya hivyo mara mbili jamaa lazima astuke tu kwa vyovyote vile lazima apate muhemko
 
Kaka Acid ametuhakikishia kuwa sometimes huwa kuna bashasha humo na si siku zote huwa ni blue monday.... ngoja nianze kufikiria kuingia humo lol!

[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]"Of all the misconceptions about love, the most powerful and pervasive is the belief that falling in love is love or at least one of the manifestations of love." M. SCOTT PECK

We all tends to forget that "It's easy to "fall" in love, but very few people know how to stay in love. "
[/FONT]

I SEE, ALRIGHT
 
[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]"Of all the misconceptions about love, the most powerful and pervasive is the belief that falling in love is love or at least one of the manifestations of love." M. SCOTT PECK

[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]We all tends to forget that "It's easy to "fall" in love, but very few people know how to stay in love. "[/FONT]
[/FONT]I SEE, ALRIGHT

' It's easy to "fall" in love, but very few people know how to stay in love' :A S 39::A S 39::A S 39:
...hii nilikuwa siwajawahi kuisikia, Nitaitumia kwenye bakora zangu kuanzia sasa.
Thx the finest kwa highlighting.
 
B727BC716FD04E47924BEF51C07DD15A.ashx

...If walls could talk!....

Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!

Jamaa inaonekana ana roho mbaya na asiye na huruma hata kidogo!! Mwenzie anaumwa maralia yee anauchapa usingizi
 
Back
Top Bottom