Tafsiri kwa Picha!


hapana jamani, kama kweli ni mke na mme, basi siku hiyo wametingwa, kila mtu na lwake. Lakini pia hicho kisu kinaonekana kutafakari zaidi, namna gani ya kumrudisha mmewe kwenye mchezo. wengi huanza hivyo halafu ngoma inachanganya
 
yumkini ni moja katika scene za filamu...howcome wapigwe picha ktk mkao huo..vipi mpiga picha chumbani katika hali hii,kulikoni binti macho makavu namna hiyo muda huu na why picha ya mwanaume imefifia as if ni ya photoshop?...beside kuna ulazima gani wa kugeukiana kila mara,na thereinafter sioni logic ya km mmoja amechoka kujichekesha tu ili kumwitatain mwenzake/mpiga picha...natafakari
 
dada ana mawazo makali sana kwani jamaa amelala kabla hawajasolve tatizo linalowakabili,kumwamsha anashindwa matokeo yake hapati usingizi kichwa kimetawaliwa na mawazo:embarrassed1:


Umepotea cousin..............
 

Hivi watu wa mitungi ndo mkoje aisee? handsome? well built? peaceful? careless? au?
 
*masikini dada wa watu! Hajafikishwa halafu mkaka karidhika kajilakia kwa raha zake

*mdada kafuma text msg ya hawara, hapo anawaza kwa hasira

*kanyimwa?

*jamaa karudi saa tisa usiku analala kama hajui yupo na mke?
 
Mwana mama anawaza...."How did I end up with him? He was not even my top choice"
 
Communication break down!!!1 this is what married couples should strive to avoid by all means, cos if you have ever heard of Sour life it begins like this and eventually become bitter life
 
inawezkana ndio mara ya kwanza kulala pamoja siunaona dada kalala na nguo zake na kaka kaweka mto wasigusane kama kweli ni wapenzi hakuna mtoto kunasababu ya kulala na gauni bora kanga ntakuelewa,wakati mwingine haya manguo ukilala nayo yanpunguza hisia
 
Jamaa "hajamgonga" nayeye alkuwa anahitaji kigongo, may be jamaa kachoshwa na mikazi ya ofisini, hapo anaugulia temperature! Temparature ikipanda kwa ladies ni noma! hasa.., aah basi tu.
 

N9t dress hazipunguzi hisia weweee, tuuulize sisi tukueleze kazi yake.
 
huyu anawaza kutoroka na kufuata mwingine ndio maana kaanza kuacha hatua, labda kuna ka HausiBoi wake anangoja
 
Anawaza jinsi ya kumuomba hela akanunue ile handbag ya designer aliyoiona ila anaogopa manake juzi tu katoka kupewa hela nyingine.
 
Yap ! Jamaaa katoa doz nene na pia kachoka hivyo kaamua kuwahi kulala ili awahi kuamka. Dada kapata doz nene ila kwa kuwa mchana alilala kwa sasa hana usingiz
 



Exactly, you are right hasa hapo kwenye red
 
Mmmh! Huyu jamaa katoka kulamba baridi na moto... Amerudi yuko swafiii. Kufika kitandani tu kroo kroo kroo.

Bidada yeye alikuwa anamhamu sana mumewe, kamsubiria weeee mpaka amerudi, kwa bahati mbaya ndo ivooo karudi kajichokea ile kuingia tu kwa kitanda anakoroma. Pole mwaya atakupa kesho.
 
Picha ya kwanza, kabla ya kulala kulikuwa na mzozo na ikaonekana wazi kuwa dada alikuwa na makosa hivyo anafikiria kukikucha itakuwaje. Pia inawezekana jamaa liliomba tigo...... sasa dada anawaza na kujiuliza jamaa limejifunzia wapi?
 



...If walls could talk!....

Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!

WAMETIBUANA HAO TEH! Mke hana hamu na Mume, na Mume pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…