Zote ni tafsiri potofuHabari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake:
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi .
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
Sukuma Gang kubalini matokeo wacheni kulialia.Habari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake:
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi .
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
Kwa hiyo akirudishwa katika nafasi ya juu itafuta "Serikali ya vibaraka wa mafisadi!" Kumbe hizo tuhuma zako ni imagination tu hazina uhalisia wowote.Habari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake:
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi .
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
mkuu mojawapo inaweza kuwa tafsiri sahihiKwa hiyo akirudishwa katika nafasi ya juu itafuta "Serikali ya vibaraka wa mafisadi!" Kumbe hizo tuhuma zako ni imagination tu hazina uhalisia wowote.
Pili, mbona hukujiuliza hiyo Serikali unayoituhumu kitoto ndiyo ilimteua na kumpa nafasi ya kuongoza mkoa?
Tatu, unajua cheo cha umma ni dhamana? Leo wewe na kesho yule?
#Tuheshimu mamlaka ya uteuzi.🙏🙏🙏
kwangu mimi sijaona kosa kubwa la kumtoa labda kama anaandaliwa ukatibu na uwaziriTumbili hatabiliki..
Ila yawezekana point ya tatu inamashiko zaidi kulingana na utawala wa walamba asali uliopo awamu hi.
#MaendeleoHayanaChama
Nafikiri hii ya tatu ipo sahihi sanaHabari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona au
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
Tumbili kanenepa muda mfupi kawa kama kifutuNafikiri hii ya tatu ipo sahihi sana
Waziri ajayeHabari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona au
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
Hoja kuu ni kupambania KATIBA mpya, itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA kabla haijachakachuliwa kuwa Katiba pendekezwa.Habari JF,