neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Raha ya ndoa, mume na mke kulala pamoja na kuamka pamoja! Hii ya mwanaume kuwa dodoma mwanamke yupo mwanza hiyo sio ndoa na sio tafsiri ya ndoa kimaandiko, maana lengo la watu hawa kuoana ni kuwa mwili mmoja kila mmoja kumlinda mwenzake! Sasa mmoja akiwa dar na mwingine kigoma huo tena sio mwili mmoja! Na wala hakuna kule kulindana kwa maana ya kushiriki tendo la ndoa pale mmoja wao anapohitaji!
Ndo maana 100% wanandoa walio mbali wengi ni wazinzi sio waaminifu kwenye ndoa! Maana hamu ya tendo haijui kwamba mpo mbali na kuendelea kuizuia ni kuikatili nafsi! Tukifuata maandiko tutaishi kwa amani haya mambo ya ukatili katika ndoa yatapungua!
Note: usikubali kukaa mbali na mmeo au mke wako kama kweli unampenda!