Tafsiri ya neno "owe"

Tafsiri ya neno "owe"

"Siku hizi neno hili (owe) halitumiki sana ... watu hawataki kukubali wanadaiwa" ........ je ulimaanisha nn ktk maneno hayo ....hasa [emoji117] watu hawataki kukubali wanadaiwa
Busy bees, maswali yako ni kama tupo mahakamani!!!!![emoji3]

"Watu hawataki kukubali wanadaiwa"

Ni watu wangapi sasa hivi ambao walikuwa wanadaiwa, na wakajitokeza baada ya mdai kufariki? Ni watu wangapi?

Ni familia ngapi, baba au mama anachukua mkopo, na anamwambia mwenzie?

Ni watu wangapi, wamechukua mikopo bank na wakarudisha? Kutokurudisha deni na kukimbia mji, ni wangapi huwa wanasema ukweli wanadaiwa?
 
Kukopa

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Kiingereza, Owe
Kiswahili, Wia

I owe you Tsh 1000
Unani wia Tsh 1000
=unanidai Tsh 1000

Bakita kwa masahihisho.
 
Habari wanajamii naomba kufahamu tafsiri ya neno "owe" naona linamatumizi mazuri katika lugha ya kiingereza ila kwenye lugha yetu ya Kiswahili sifahamu tafsiri yake, kwa yeyote mwenye kujua anifahamishe
i owe you -----unanidai AU nawiwa nawe
you owe me ----nakudai AU unawiwa nami /unadaiwa nami.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamii naomba kufahamu tafsiri ya neno "owe" naona linamatumizi mazuri katika lugha ya kiingereza ila kwenye lugha yetu ya Kiswahili sifahamu tafsiri yake, kwa yeyote mwenye kujua anifahamishe
Fasiri yake ni wiwa, kwa Wakritu limetumika kwenye Bibilia
 
Back
Top Bottom