From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Busy bees, maswali yako ni kama tupo mahakamani!!!!![emoji3]"Siku hizi neno hili (owe) halitumiki sana ... watu hawataki kukubali wanadaiwa" ........ je ulimaanisha nn ktk maneno hayo ....hasa [emoji117] watu hawataki kukubali wanadaiwa
"Watu hawataki kukubali wanadaiwa"
Ni watu wangapi sasa hivi ambao walikuwa wanadaiwa, na wakajitokeza baada ya mdai kufariki? Ni watu wangapi?
Ni familia ngapi, baba au mama anachukua mkopo, na anamwambia mwenzie?
Ni watu wangapi, wamechukua mikopo bank na wakarudisha? Kutokurudisha deni na kukimbia mji, ni wangapi huwa wanasema ukweli wanadaiwa?