From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Busy bees, maswali yako ni kama tupo mahakamani!!!!![emoji3]"Siku hizi neno hili (owe) halitumiki sana ... watu hawataki kukubali wanadaiwa" ........ je ulimaanisha nn ktk maneno hayo ....hasa [emoji117] watu hawataki kukubali wanadaiwa
Kinyume! Nakudai..You owe me $200k=unanidai $200k
i owe you -----unanidai AU nawiwa naweHabari wanajamii naomba kufahamu tafsiri ya neno "owe" naona linamatumizi mazuri katika lugha ya kiingereza ila kwenye lugha yetu ya Kiswahili sifahamu tafsiri yake, kwa yeyote mwenye kujua anifahamishe
Ni abbreviation inamaanisha "kisses and hugs"Xoxo ni aina gani ya neno?
Wia [emoji117] WiwaKiingereza, Owe
Kiswahili, Wia
I owe you Tsh 1000
Unani wia Tsh 1000
=unanidai Tsh 1000
Bakita kwa masahihisho.
Fasiri yake ni wiwa, kwa Wakritu limetumika kwenye BibiliaHabari wanajamii naomba kufahamu tafsiri ya neno "owe" naona linamatumizi mazuri katika lugha ya kiingereza ila kwenye lugha yetu ya Kiswahili sifahamu tafsiri yake, kwa yeyote mwenye kujua anifahamishe