Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Screenshot_20240229-182751.jpg
 
Picha zinaongea

Uzuri wa IMANI ni kwamba unaweza kuichezasha utakavyo just to fit your imagination

Picha ya watu watano waliosimama na wakifa wanne kulingana na walivyojipanga utasema picha imeongea.
Ukiletewa picha nyingine ya watu hao hao ila aliyekua hai kasimama katika utasema picha imeongea waanze wa pembeni wakati abaki,
Watu hao hao picha nyingine aliye hai akiwa wa pili utacheza na rangi
Watu hao hao picha nyingine aliye hai akiwa wapili kutoka mwisho utasema angalia body language ........ you can twist it whatever you want just to fit your imagination
 
Back
Top Bottom