Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndoto vile kwamba hawa wote wameshaaga dunia.
Dqh nazidi kufuatilia hadi naogopaPicha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Waliutaka na kuusaka Urais mwaka 2015
Waliutaka na kuusaka Urais mwaka 2015
Still picha zinaongea lugha tusiyoifahamu!!!Waliutaka na kuusaka Urais mwaka 2015
1: John Magufuli
2: Edward Lowasa
3: Anna Mghwira
4: Benard Membe
View attachment 2901193
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh[emoji848][emoji3064][emoji2827]Still picha zinaongea lugha tusiyoifahamu!!!View attachment 2907044
hakika lema hakutaka unafiki. Hapa
Umewaza mbaliHivi kwanini hakuna mahali popote Chenge na Rostam wana picha ya pamoja je Hayati lowasa na chenge?
na hawa tunaambiwa ni marafiki?
Tunaweza tukajua kwanini hawakutaka picha ya pamoja?
Hakika Mshana Jr Picha zina siri
hakika lema hakutaka unafiki. Hapa
Mbowe anayo maturity japo sikubaliani na sera zake . Hata speech yake ya msibani ilionesha anayo intellectual mindKakosa Maturity na hawezi kuwa mwanasiasa bora. It is not about being honest ; it is about politics .
Mbowe anayo maturity japo sikubaliani na sera zake . Hata speech yake ya msibani ilionesha anayo intellectual mind
Lema hana tofauti na makonda kiakili na kimtazamo
yeap na hii itamgharimu kisiasa in long runKakosa Maturity na hawezi kuwa mwanasiasa bora. It is not about being honest ; it is about politics .
Mbowe anayo maturity japo sikubaliani na sera zake . Hata speech yake ya msibani ilionesha anayo intellectual mind
Lema hana tofauti na makonda kiakili na kimtazamo