Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Yaaani hizi picha nyie unaogopa hata kuzitazamaDk Mwele Malecela na Dk Augustine Ndugulile. Madaktari wawili vijana mahiri wa Kitanzania, ambao ajira zao ktk WHO yaliishia ktk namna ya kushtukiza ghafla, na kuacha majonzi kwa watanzania! Mwenyezi awajalie huruma yake!!View attachment 3165374
Kwa vile ni 1992 ,Hilo pozi hatuna waswas nalo,tunajua amani ilikuwepo😄😄😄Hii picha tulipiga Manyara mwaka 1992 .. Kulikuwa mabest sana mpaka tukawa na jina letu rasmi
Wa mbele kabisa Emanuel alishafariki
Wa pili kutoka mbele ni Rodgers yuko TAMISEMI
Wa tatu ni mimi niko Kilingeni😀View attachment 3138237
Wa Mwisho ni Martin ni Daktari bingwa
Hata mimi nilikuwa nazitafuta hizi picha kwa kuzingatia hali ya kisiasa ya sasa ili tuweze kujua yajayo.View attachment 3175624
Hii nayo muda si mrefu itazungumza
Lema alikuwa kibonge.View attachment 3175624
Hii nayo muda si mrefu itazungumza
Wenyeviti wa kudumu mxiiiiiuuuuy zao