Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho


tazama nyuso za hawa watoto hazina furaha ya safari ni kama kuna kitu kisichowezekana kisicho kizuri wanakisubiri... Kifo kina dalili zake[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Wakati wa kupigwa hii picha hakuna aliyetegemea kuwa hawa wote watakuja kuwa marais wa Kenya ila kwenye ulimwengu wa roho na beyond human thinking capacity....hongera nimeipenda
Nimeona kitu MSHANA jr.... Katika picha hii, huyu aliyeinama na kushika MAGOTI (Mwai Kibaki)

Ndie Raisi aliye apishwa akiwa katika WHEEL CHAIR (Kiti cha kuvutwa na Magurudumu)

Kwa kuisoma picha hiyo utaona mengi yaliyo jificha kutoka kwa viongozi hao...
 
Weka picha yako tukupe ama tukuambie siri nyuma ya pazia...
 
Mkuu mshana jr nakuomba ufute hii picha haraka sana, ni ya uongo. Imesambazea sana kwenye magroup... Huu ni uongo ajali ya Lucky Vincent haihusiani na hii familia tafadhali watendee haki..
Yeah right hata mimi niliona...mambo ya wasap gps ni uzishi uzushi tu..usipopima unaweza foward vitu sio..
 
Coincidence ni mtazamo wa kibinadamu kwenye ulimwengu wa roho kila kitu kiko pre-planned

So tunabishana hapa kuhusu hii statement ya Mungu amepanga hili i.mean hizi statement kuwa " ilishapangwa" je imepangwa na nani? Mungu au Shetani
Mi sidhani kuwa ni kitu kizuri kumsingizia Mungu kila jambo wakati hatuna uhakika.
 
Hatujui yajayo japo kwasasa imethibitika hao wawili walio upande mmoja na rangi za nguo zinazokaribia kufanana 'inasemekana' ni wasaliti
Mkuu mshara hapo kwenye usaliti siku zote nitamtetea mzee wetu Slaa. Huwezi kuwa msaliti kwa kusimamia ukweli na misingi ya taasisi yoyote, nadhani wasaliti wanajulikana vyema....
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mshana jr unacheka post yako mwenyewe!
"Kiroho" haijakaa vizuri kabisa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mshana jr unacheka post yako mwenyewe!
"Kiroho" haijakaa vizuri kabisa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Uko sawa lakini hauko sahihi ...kumbuka hata mashine kuna wakati huwa zinajam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…