dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Naona umemkomalia jamaa ili ubebe ujiko kupitia kwake...Siamini kama mmeelewa alichoandika maana ya Picha kuongea hebu rudia mstari kwa mstari ile page ya 1 soma ukiwa na mawazo huru then utaelewa alimaanisha nini Tatizo lenu wadanganyika hamfuatiliagi vitu Deeply... hata kama kitu hukipendi wee soma tu...Kuna kitu utapata hata kama ni 1Bora hata wewe umefikiria nje ya boksi kuliko wale ambao ni sawa na Sponji wananyonya kila kimiminika bila kufikiria!
Picha uliyopiga miaka 10 au 20 iliyopita unataka iwe inafanana na maisha yako ya leo?
Picha ya group enzi za shule unataka watu wote wawe hai hadi leo?
Kuna watu wanajua kua mada kama hizi ni usanii tu wa kuaminisha watu, ila wanasapoti kama ule mchezo wa karata 3 tu ili asiyejua ndio anatumbukia bila kujijua!!