Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Natamani sana kufanya meditation, Mshana nakuomba anzisha group la WhatsApp la mambo haya tutakaopenda utuunge utupe mwongozo wa hilo na mengine najua tupo wengi wenye interest sema muda tunakosa ila kwenye group itakuwa rahisi.
 
Natamani sana kufanya meditation, mshana nakuomba anzisha group la watsap la mambo haya tutakaopenda utuunge utupe mwongozo wa hilo na mengine najua tupo wengi wenye interest sema muda tunakosa ila kwenye group itakuwa rahisi
Jaribu kwanza hizi basics tafadhali ingia hapa meditation in your daily routine kama haifunguki ipate kupitia Google, kukiwa na swali usisite kuniuliza
 
Kama hizo jeans zimegeuzwa!
Yeah na mashati pia na viatu it was kind of funny
We thought we were having funny but actually we were making memories, picha ya miaka 20 iliyopita.
 
Mkuu mshana jr hebu nisaidie. Mimi tangu zamani huwa sipendi kupiga picha. Na hupiga inaponilazimu; mara nyingi picha za public huwa najifichaficha mradi tu nisitokee. Na nikitokea huwa nakuwa nyuma nyuma, hii ni nini?

Mmh kuna kitu kinaitwa brain imaginations ama brain hallucinations na huathiri sana macho na kurudisha signals za mwanga wa flash ama ile sauti kwenye ubongo na kutengeneza conflict within self!aina fulani ya vita ya ndani
Hali hii hufanya mtu kuchukia kabisa kupiga picha.

Kama uliona kipindi kile cha vitambulisho vya kura watu walivyokuwa wanapata shida ya kupigwa picha.
 
Back
Top Bottom