Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Hivi jamani hakuna mwenye picha ya Lowassa, Kingunge na Sumaye atuwekee hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni hali ya kawaida ya maisha
ulitaka hizo picha ziwe sawa na leo?
hata ukipiga nyingine leo kesho itabadilika kulingana na maisha yanavyoenda
Usisahau mrejesho tafadhali mi nakuonyesha mojaView attachment 390635hawa ni jamaa zangu hapo ni South Africa mwaka 1996 hiyo picha nilipiga mimi huyo wa katikati ni marehemu kwa sasa na hao wengine wako ulaya
Ulimwengu wa roho ndio ulimwengu unaoendesha dunia kwakuwa unajua yajayo kabla yetu sisi na kila tendo maandalizi yake yalikuwa nyuma sasa yanatendeka na matokeo yake ni hapo baadae na hakuna mwenye uwezo wa kubadili chochote kwakuwa tumefungwa ufahamu!Dah! we acha kuna picha tulipiga mimi na wadogo zangu 3 na mpwa wangu,katika picha hiyo mimi na mdogo wangu wa kiume na mpwa wangu wa kiume tulivaa shati zenye kufanana na wote tumepata elimu ya kutosha lakini hawa wadogo zangu wawili wa kike ambao nao walivaa gauni sawa hawakumaliza darasa la saba kwa kweli we acha tu
Inakuaje yenyewe, au inafanyika vipi?Duu usingeacha iko very powerful..mimi nilianza 1996
Mkuu pia naomba kujua, hizo empty meditation na wall meditation zinakuaje?Hapana hii sijawahi fanya mimi nimefanya sana
Empty meditation
Wall meditation
Breathing meditation
Shukran mkuu, unahesabu wakati wa kuvuta au kupumua.? Na je hii ya mshumaa unakua unautazama wenyewe?Haitofautiani sana
1. Wall meditation unakodolea macho ukuta na huku ukihesabu pumzi
2. Empty meditation unafumba macho na kuhesabu pumzi
Wewe ni mfuasi wa huyo mshirikina na kazi yako ni kutetea mada za huyo mshirikina,yaani wewe ni mpiga debe wa huyo mshirikina,ndio maana kazi yako ni kuwavamia wanaompinga huyo mshirikina wako,usifikiri watu wote wanadanganyika kirahisi kama wewe! Zinduka toka usingizini.Usiwe na wasiwasi kama hukuelewa au kama fikra zinakupeleka kwenye ushirikina.... vitu vimgine vinahitaji akili kubwa kuelewa..
Kwenye hali ya kurelax kabisa ukivuta pumzi unahesabu moja ukitoa pumzi unahesabu mbiliShukran mkuu, unahesabu wakati wa kuvuta au kupumua.? Na je hii ya mshumaa unakua unautazama wenyewe?
Asante tena na tena. Hebu angalia hicho kipande cha maandiko matakatifu, nimekutanacho dk hizi tu, nakajifunza kitu pia katika meditationKwenye hali ya kurelax kabisa ukivuta pumzi unahesabu moja ukitoa pumzi unahesabu mbili
Ya mshumaa sijawahi fanya ila unautazama
Bora hata wewe umefikiria nje ya boksi kuliko wale ambao ni sawa na Sponji wananyonya kila kimiminika bila kufikiria!Habari kaka Mshana;
Hizo ni coincidence tu hazina uhusiano na nguvu wala miujiza yoyote kila jambo ni vile unavyolitazama mimi sikubaliani na wewe...
Kama picha ilipigwa zamani kivipi leo niione sawa wakati nyakati zinabadilika? ni lazima nione mabadiliko mengi tu kwa kua muda nao umepita ipo hivyo tu
Nikipiga picha leo na mbuzi wangu nyumbani baada ya miaka mitano yule mbuzi hatakuwepo labda amechinjwa au vyovyote na mimi pia nitakua pengine kama asili ya maisha ilivyo hakuna nguvu wala nini inayotumika hapa
Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.
Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta
![]()
Aseee we nawe n kichwa hataree yan hii picha imeelewesha mada vizur zaid! inaonekana we n msomi sanaa!big up snaaaMkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.
Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta
![]()
Na hapa tafsiri ikoje Mshana Jr?Hatujui yajayo japo kwasasa imethibitika hao wawili walio upande mmoja na rangi za nguo zinazokaribia kufanana 'inasemekana' ni wasaliti