Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hii kitu ya ajab sana. Yaani wakajipanga na kuonesha mtiririko kuwa mara baada ya mzee nitasimama mimi Arap, ukifuatia weye Kibaki halafu huy bwamdogo Uhuru. Huu ndo mtiririko. Baadaye waje wengine wasiofahamika.
Asante mshana jr
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ipo salama tu, mtoto kafata kwa babuuu in Bushoke's voice
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mshana jr tunashukuru kwa uvumbuzi huu. Mambo ya roho ni zaidi ya macho mawili hakika.

Nina swali moja kwako mshana JE HAPA UNAZUNGUMZIA picha za hard copy tuu au hata tulizonazo kweny cmu pia zinaweza ingia hapo?!

Nifafanulie, kama soft pictures pia zinahusika
 
Picha zote zinahusika! Ufunuo wake huja baada ya kitambo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchungaji ambaye ndio anahisiwa kuwa baba halisi wa mtoto akakaa upande wa mtoto, hii sio coicedence ni spiritually pre-planned.
Halafu si unamuona mkono wake wa kulia umemshika mama mtoto mgongoni yaani huyo jamaa hapo hana chake unless otherwise ana matatizo
 
Ilikua 1974,siku alipofungua Jumba la KICC (Kenyatta International Conference Center) mjini Nairobi.Hapa Mzee Jomo Kenyatta anasaini Guest Book . Very amazing picture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…