Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hii kitu ya ajab sana. Yaani wakajipanga na kuonesha mtiririko kuwa mara baada ya mzee nitasimama mimi Arap, ukifuatia weye Kibaki halafu huy bwamdogo Uhuru. Huu ndo mtiririko. Baadaye waje wengine wasiofahamika.
Asante mshana jr
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 567794hii picha inayozunguka mitandaoni, naamini kabisa wakati wahusika wanaipiga hawakujua madhara yake
Na cha kushangaza zaidi, Mchungaji ambaye ndio anahisiwa kuwa baba halisi wa mtoto akakaa upande wa mtoto, hii sio coicedence ni spiritually pre-planned... Ya gizani huumbuliwa na nuru....... Sijui hii ndoa iko kwenye hali gani kwasasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ipo salama tu, mtoto kafata kwa babuuu in Bushoke's voice
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mshana jr tunashukuru kwa uvumbuzi huu. Mambo ya roho ni zaidi ya macho mawili hakika.

Nina swali moja kwako mshana JE HAPA UNAZUNGUMZIA picha za hard copy tuu au hata tulizonazo kweny cmu pia zinaweza ingia hapo?!

Nifafanulie, kama soft pictures pia zinahusika
 
Picha zote zinahusika! Ufunuo wake huja baada ya kitambo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchungaji ambaye ndio anahisiwa kuwa baba halisi wa mtoto akakaa upande wa mtoto, hii sio coicedence ni spiritually pre-planned.
Halafu si unamuona mkono wake wa kulia umemshika mama mtoto mgongoni yaani huyo jamaa hapo hana chake unless otherwise ana matatizo
 
4e92ef2d44ce8d66370403f051ba51fb.jpg
 
Ilikua 1974,siku alipofungua Jumba la KICC (Kenyatta International Conference Center) mjini Nairobi.Hapa Mzee Jomo Kenyatta anasaini Guest Book . Very amazing picture.
 
Back
Top Bottom