Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Kobe akiwa na mwanae... Wameondoka kwa pamoja... Wapumzike kwa amanj

Jr[emoji769]
 
Kuna picha ningweka humu ila utambulisho... 😀 😀 😀

Familia ya watu wanne...baba alipiga na na mama na watoto wa kiume wawili.

Mtoto wa kiume wa kwanza alibebwa na Baba wote wamefariki.

Mtoto wa kiume wa pili alibebwa na mama hao wapo hai mpaka sasa.
 
Mmmh... Kusudio la picha kwenye ulimwengu wa roho
Jr[emoji769]
 
Usisahau mrejesho tafadhali mi nakuonyesha moja.

View attachment 390635
Hawa ni jamaa zangu hapo ni South Africa mwaka 1996 hiyo picha nilipiga mimi huyo wa katikati ni marehemu kwa sasa na hao wengine wako Ulaya.
Nimeona hao wawili wana alama ya tiki (vema) pengine ndo maana walifanikiwa kwenda ulaya kama ndo ilikuwa ndoto yao, huyo mwingine safari ikaishia south.
 
Mimi nimesoma na mwanae wa kiume shule ya msingi Kawawa, Mabibo Dar, 2kamaliza nae darasa la 7, mwaka 2007, anaitwa RAMADHANI MABELA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka mwaka fulani nikiwa chuo alikuja vice principal akatupiga picha mm na dada mmoja tukiwa tunasoma, akaiweka kwenye page yake fb hadi leo ipo.... wonderful enough leo hii tunaishi pamoja as husband & wife.
Angalau wewe umeweka upande mzuri wa hizi picha mana bwana Mshana jr na wenzie wanaweka habari za vifo tu...hadi naogopa ngoja nikajipooze kwenye uzi wa KULA TUNDA KIMASIHARA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…