Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaAisee acha uongo,..mzee said mabela Ni jiran yetu tangia mwaka 1990 maeneo ya kigogo mburahati,..na wanae wote nimesoma nao,..akiwemo bakari, sadick na wengine..baada ya kutofautiana na mkewe akahamia mbagala...na mpaka muda huu huyu mzee Ni mzima wa afya..tele. japo uzee umeshamtembelea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichotetea jamaa ni kutokana na mleta uzi kusema kuwa mabera hayupo dunian ilihali yuko kwao na familia yake. Na sio kuhusiana na hao wawili unaosema.Lakini si wajuu wawili wamefariki?
Jr[emoji769]
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
huyu Mshana jr ana kitu spesho kwa kweli hii akili aliyoitumia hapa inauhalisia mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ukitafsiri ni kama Jomo Kenyatta anasema tegemeo la wakenya baadae.Moi naye hapo nyuma anasema huyu dogo atakuja kuwa raisi wa nchi hii.
Hata hivyo alivyozaliwa Uhuru mwaka 1961.Jomo Kenyatta alikuwa Nakuru akatoa habari kwenye mkutano.Leo mama Ngina amewaletea kijana Uhuru atawapeleka kwenye mto wa maziwa na asali.Kenya ikaja pata Uhuru 1964.Na sasa Uhuru ni raisiView attachment 1327355
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hata me nijuavyo ni kwamba Msondo ngoma walidanja sana lakini alibaki Mabela na yule RomaliiAisee acha uongo,..mzee said mabela Ni jiran yetu tangia mwaka 1990 maeneo ya kigogo mburahati,..na wanae wote nimesoma nao,..akiwemo bakari, sadick na wengine..baada ya kutofautiana na mkewe akahamia mbagala...na mpaka muda huu huyu mzee Ni mzima wa afya..tele. japo uzee umeshamtembelea...
Sent using Jamii Forums mobile app