Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Aisee acha uongo,..mzee said mabela Ni jiran yetu tangia mwaka 1990 maeneo ya kigogo mburahati,..na wanae wote nimesoma nao,..akiwemo bakari, sadick na wengine..baada ya kutofautiana na mkewe akahamia mbagala...na mpaka muda huu huyu mzee Ni mzima wa afya..tele. japo uzee umeshamtembelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimeamini Ila unabidi utulize akili zako unapotazama,Kuna Mara mbili ukawa na furaha au kilio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike

Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu

- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language

Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk

- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk

Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao

- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk

Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi

Ni nguvu hiyo inayoamua:

Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini

Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu

Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii

- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu

Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ukitafsiri ni kama Jomo Kenyatta anasema tegemeo la wakenya baadae.Moi naye hapo nyuma anasema huyu dogo atakuja kuwa raisi wa nchi hii.
Hata hivyo alivyozaliwa Uhuru mwaka 1961.Jomo Kenyatta alikuwa Nakuru akatoa habari kwenye mkutano.Leo mama Ngina amewaletea kijana Uhuru atawapeleka kwenye mto wa maziwa na asali.Kenya ikaja pata Uhuru 1964.Na sasa Uhuru ni raisi
Screenshot_2020-01-19-11-34-50-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maono.... Yaliyotimia... Lakini hata wao hawakujua utimilifu huu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Hapo ukitafsiri ni kama Jomo Kenyatta anasema tegemeo la wakenya baadae.Moi naye hapo nyuma anasema huyu dogo atakuja kuwa raisi wa nchi hii.
Hata hivyo alivyozaliwa Uhuru mwaka 1961.Jomo Kenyatta alikuwa Nakuru akatoa habari kwenye mkutano.Leo mama Ngina amewaletea kijana Uhuru atawapeleka kwenye mto wa maziwa na asali.Kenya ikaja pata Uhuru 1964.Na sasa Uhuru ni raisiView attachment 1327355

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Hawa vijana wawili wa kiume walifariki kwenye shambulio la Alshabab Westgate Nairobi... Huyu dada alifariki kwenye shambulio kama hilo kwenye hotel Somalia mwaka jana
tapatalk_1579945143950~2.jpeg
huyo dada alikuwa anaitwa hodan raia wa Canada

Jr[emoji769]
 
Aisee acha uongo,..mzee said mabela Ni jiran yetu tangia mwaka 1990 maeneo ya kigogo mburahati,..na wanae wote nimesoma nao,..akiwemo bakari, sadick na wengine..baada ya kutofautiana na mkewe akahamia mbagala...na mpaka muda huu huyu mzee Ni mzima wa afya..tele. japo uzee umeshamtembelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hata me nijuavyo ni kwamba Msondo ngoma walidanja sana lakini alibaki Mabela na yule Romalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom