ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna picha ningweka humu ila utambulisho... 😀 😀 😀
Familia ya watu wanne...baba alipiga na na mama na watoto wa kiume wawili.
Mtoto wa kiume wa kwanza alibebwa na Baba wote wamefariki.
Mtoto wa kiume wa pili alibebwa na mama hao wapo hai mpaka sasa.
Nimeona hao wawili wana alama ya tiki (vema) pengine ndo maana walifanikiwa kwenda ulaya kama ndo ilikuwa ndoto yao, huyo mwingine safari ikaishia south.Usisahau mrejesho tafadhali mi nakuonyesha moja.
View attachment 390635
Hawa ni jamaa zangu hapo ni South Africa mwaka 1996 hiyo picha nilipiga mimi huyo wa katikati ni marehemu kwa sasa na hao wengine wako Ulaya.
[emoji16][emoji16][emoji16],huyo mwenye magwanda ni naniWametumbuliwa pamoja
Jr[emoji769]
Mimi nimesoma na mwanae wa kiume shule ya msingi Kawawa, Mabibo Dar, 2kamaliza nae darasa la 7, mwaka 2007, anaitwa RAMADHANI MABELAAisee acha uongo,..mzee said mabela Ni jiran yetu tangia mwaka 1990 maeneo ya kigogo mburahati,..na wanae wote nimesoma nao,..akiwemo bakari, sadick na wengine..baada ya kutofautiana na mkewe akahamia mbagala...na mpaka muda huu huyu mzee Ni mzima wa afya..tele. japo uzee umeshamtembelea...
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1338591
Ukitaka, utaielewa.
Angalau wewe umeweka upande mzuri wa hizi picha mana bwana Mshana jr na wenzie wanaweka habari za vifo tu...hadi naogopa ngoja nikajipooze kwenye uzi wa KULA TUNDA KIMASIHARAnakumbuka mwaka fulani nikiwa chuo alikuja vice principal akatupiga picha mm na dada mmoja tukiwa tunasoma, akaiweka kwenye page yake fb hadi leo ipo.... wonderful enough leo hii tunaishi pamoja as husband & wife.