Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Aliyejitenga keshatengwa.... Lakini baada ya miaka mitatu hii picha inaweza kutuongezea tafsiri View attachment 1339044

Jr[emoji769]
2020 Dr Shein anastaafu, hao wengine wawili wanabaki serikali, huyu Kangi kashatolewa kwenye mfumo.. [emoji23][emoji23] Picha zinatoa ujumbe mzito sana ulio jificha na ulio wazi

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Inaelezwa hawa ndio wafanyakazi wa CRDB waliopata ajali Mombo wakitokea Kili Marathon

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…