Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Picha ya mtu na vitu pia inaleta ujumbe fulani na ishara fulani, mfano nikipiga picha bustanini inawezekana nikawa naashiria upendo na amani, nikipiga na mawe au nimekalia au kulalia mawe inaweza kiroho kuwa ishara ya ubishi kama jiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikipiga na mawe au nimekalia au kulalia mawe inaweza kiroho kuwa ishara ya ubishi kama jiwe. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Uyo mwenye miwan hapo nyuma sio kubenea kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
Peter Serukamba mb.
IMG_20200511_211652.jpg
 
Save this... View attachment 1428714

Jr[emoji769]
Nichambue kidogo,

Zito na Makamba jr, hawakubaliani na anachokisema nape, Nape yeye anajua wanamkubalia na amehamasika kuongea zaidi,
Makamba yupo interested na Zito, (amefanya mirroring). Alafu inaonekana ni watu wanaofahamiana kiundani kwa muda mrefu.

Eti mshana hapo vipi ..?

[emoji109][emoji109][emoji109]imekaa vizuri ila itaongea zaidi kadiri muda unavyosogea.. Kwa sasa tumefumbwa ufahamu

Jr[emoji769]
 
Mkuu nakubaliana na wewe katika hyo tafsiri ya picha... Kuna picha moja ya utoto nilipiga Mimi nikiwa na miaka 5 na mdogo wangu akiwa na.miaka 2 tukiwa na baba yetu...wote tulikuwa tumesimama,,ila baba akiwa amemshika yule mdogo wangu wa kike MKONO,,,hivi ninavyokwambiya kati ya hao wote hakuna aliye hai,,nimebaki Mimi tu,,kinachoshangaza ni kwann baba alimshika MKONO mdogo wngu na kuto kunishika MKONO Mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom