Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mkuu nakubaliana na wewe katika hyo tafsiri ya picha... Kuna picha moja ya utoto nilipiga Mimi nikiwa na miaka 5 na mdogo wangu akiwa na.miaka 2 tukiwa na baba yetu...wote tulikuwa tumesimama,,ila baba akiwa amemshika yule mdogo wangu wa kike MKONO,,,hivi ninavyokwambiya kati ya hao wote hakuna aliye hai,,nimebaki Mimi tu,,kinachoshangaza ni kwann baba alimshika MKONO mdogo wngu na kuto kunishika MKONO Mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho

Jr[emoji769]
 
Mkuu nakubaliana na wewe katika hyo tafsiri ya picha... Kuna picha moja ya utoto nilipiga Mimi nikiwa na miaka 5 na mdogo wangu akiwa na.miaka 2 tukiwa na baba yetu...wote tulikuwa tumesimama,,ila baba akiwa amemshika yule mdogo wangu wa kike MKONO,,,hivi ninavyokwambiya kati ya hao wote hakuna aliye hai,,nimebaki Mimi tu,,kinachoshangaza ni kwann baba alimshika MKONO mdogo wngu na kuto kunishika MKONO Mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳Unanitisha Mkuu, ngoja nianze kupitia picha zangu za zamani upya nilizo shikwa au nimemshika mtu mkono itabidi nizichane
 
Nichambue kidogo,

Zito na Makamba jr, hawakubaliani na anachokisema nape, Nape yeye anajua wanamkubalia na amehamasika kuongea zaidi,
Makamba yupo interested na Zito, (amefanya mirroring). Alafu inaonekana ni watu wanaofahamiana kiundani kwa muda mrefu.

Eti mshana hapo vipi ..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku watakuja kukaa meza moja wakiwa na lengo moja na wote watakuwa chini ya Zito.

Ukiangalia hapo wote wanamsikiliza Zito na hoja zao zinategemea approval kutoka kwa Zito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nan alitangulia?
Mkuu nakubaliana na wewe katika hyo tafsiri ya picha... Kuna picha moja ya utoto nilipiga Mimi nikiwa na miaka 5 na mdogo wangu akiwa na.miaka 2 tukiwa na baba yetu...wote tulikuwa tumesimama,,ila baba akiwa amemshika yule mdogo wangu wa kike MKONO,,,hivi ninavyokwambiya kati ya hao wote hakuna aliye hai,,nimebaki Mimi tu,,kinachoshangaza ni kwann baba alimshika MKONO mdogo wngu na kuto kunishika MKONO Mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu,,tena mbaya zaidi nyuma ya ile picha baba aliandika majina yetu na siku na umri wetu Mimi na mdogo wngu,, ILIKUWA siku ya IDD elfitri mwaka huo...tena tumevaa nguo za vitambaa vilivyofanana,,ila mdogo wngu wa kike kavaa gauni,,,na Mimi nimevaa T-shirt na short na soksi...rangi sawa na mdogo wng,,na vitambaa vinafanana,,tofauti mishono,,nikiiangalia natokwa na MACHOZI sn,,,picha ya BLACK AND WHITE..
Mh pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike

Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu

- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language

Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk

- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk

Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao

- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk

Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi

Ni nguvu hiyo inayoamua:

Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini

Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu

Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii

- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu

Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?

CA093B57-1D8A-4D40-A245-79D3BA58A41B.jpeg

it depends on how you feed one's brain with! What is the intepretation of the above and below pic then? mimi nasema KAMANDA MBOWE ndio mratibu mkuu wa shughuli nzima!
DB8D21FF-9437-49FB-9D0B-71156128F2AD.jpeg
 
Back
Top Bottom