Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Naskia Masanja na Bepari la kihaya hawapatani now.
Screenshot_20200511-215940_Instagram~2.jpeg
 
Mshana Jr
Huyu jamaa kafa, post yake ya mwisho kabisa kupost instagram ilikua hii... wananchi wameenda kumuongezea R.i.p zake kwenye post hio hio alioandika R.I.P KOBE , r.i.p juu ya r.i.p [emoji87][emoji2357]
nikionaga hizi coincidence nakumbuka sana hii mada
Screenshot_20200610-103925~2.jpeg
 
Back
Top Bottom