Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah..umeichambua vizuri sanaHuyu jamaa amekufa kwa kugongwa na mwendokasi jana, 17/08/2020.......nyuma ya hio picha kuna gari zipo zimepaki, naye yupo katikati ya magari yaliyopaki, hayo magari mawili yaliyopaki yanamtazama yeye pekee...... Nadhani umeelewa kwa nini amekufa na mwendo kasiView attachment 1541161
Dah mkuu hii picha ,sijui nisemaje hiyo picha ya Mzee K ,ktk hicho kikaoWawili walikufa kwa vifo vya magonjwa ya uzeeni..wa kwanza kulia alikula shabaView attachment 1530432
DuuuView attachment 1541256
Hao ni MaPress Secretaries ambao Nyerere aliwaamini sana, wa kwanza kushoto ni Habib Halahala, Paul Sozigwa, JKN, Bgr. Hashim Mbita na Benjamin Mkapa, wote wametangulia mbele ya Haki, wa kwanza kufariki ni halahala mwenye Suti Nyeusi Kushoto kabisa, na wa Mwisho kufariki ni Mkapa wa mwisho kulia
CC: Mshana Jr
Mkuu hy picha nimeichukua samahani, ina history ndefu sana kwanguDah mkuu hii picha ,sijui nisemaje hiyo picha ya Mzee K ,ktk hicho kikao
Mzee k alichomoa kufika muafuaka
Ahsante kwa picha hii
Merci ,pamoja sanaHakuna shida..natambua hilo
Wote ni wasaliti na hawaaminiki.
Hapa nimekuelewa kabisa!Save this... For future reference.. This time next year View attachment 1504479
Mkuu vipi kuhusiana na ule msemo usemao kuwa maneno yanaumba kuna uhalisia wowote!?...nikimaanisha mtu au watu kukutamkia maneno mazuri/mabaya,mfano unaitwa kiongozi,Boss,mheshimiwa nk lakini hayareflect na uhalisia wa kawaida wa mtu.Either way...positively or negatively
Ni kweli kabisa maneno huumba...maneno hutengeza roho..na maneno huua ama kuharibu...Mkuu vipi kuhusiana na ule msemo usemao kuwa maneno yanaumba kuna uhalisia wowote!?...nikimaanisha mtu au watu kukutamkia maneno mazuri/mabaya,mfano unaitwa kiongozi,Boss,mheshimiwa nk lakini hayareflect na uhalisia wa kawaida wa mtu.
Kwenye ulimwengu wa roho inakuwa vipi!?
Na jee baada ya kutamkwa na kutokea ni kitu gani ambacho kinakuwa kimehifadhi hayo maneno.
Shukrani mkuu,Ni kweli kabisa maneno huumba...maneno hutengeza roho..na maneno huua ama kuharibu...
Kuna nguvu kubwa kwenye maneno kwakuwa ni matokeo ya muunganiko wa nafsi hai na roho....kumbuka ulimwengu uliumbwa kwa neno tuu... MUNGU alitamka na ikawa...ni binadamu pekee ambaye hakuumbwa kwa neno
Wacha kuuwa watu mkuu.
Sorry mkuu nlikuwa namjibu huyu [emoji115][emoji115]Alianza kufa wa kulia ,akafata nyerere then mugabe wa mwisho hapo!!
Nimemuua nani? Hujui kudhulumu uhai ni kosa la jinai?
Jr[emoji769]