Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

N
Nakubaliana na wewe ila naomba kuelimishwa kidogo, hiyo nguvu ya kiroho ni IPI? Roho ya Mungu au roho ya Shetani kwani hizi zote ni roho; yaani kuna ulimwengu wa roho wa Mungu na ulimwengu wa roho wa Shetani. Any way nasubiri mavituzi kwenye eneo hilo la swali langu. Asante.
 
Kila asili ya nguvu kiroho na hata kimwili ilikuwa ya Kimungu mpaka pale ibilisi shetani alipomuongopea Eva pale Eden...Baada ya wawili hao kufukuzwa Eden shetani alikabidhiwa mamlaka ya ukuu wa anga...lakini bado hata hivyo asilimia zaidi ya 70 bado ziko chini ya umiliki wa Kimungu
 
"Baada ya wawili hao kufukuzwaEdenshetani alikabidhiwa mamlaka ya ukuu wa anga" hadi pale Yesu Kristo, aliye hai, alipomshukia kuzimu na kumnyang'anya ufunguo wa mauti na kuzimu na hivyo kutuweka huru na kuchukua mamlaka na madaraka aliyojipa Shetani mwenyewe/binafsi- kwani hakupewa hayo mamlaka na Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…