Je vinakuwa na uhalisia?Mimi naamini ni muda na mapito ambayo binadamu lazima apitie kutoka kuzaliwa, kuishi hadi kufa kwake, nikiwa namaanisha muda kati ya kipindi picha inapigwa na muda ambao wewe unakuja kuiangalia kuna mengi yametokea hapo kati kati (hayakua na budi kutokea) pia kumbuka hata mentality yako itakua imebadilika hasa baada ya kusikia hii habari na kuanza kuhusianisha na unayoyaona kwenye picha, maana mara baada ya kuchukua picha automatically utaanza kupimanisha vitu vingi kama vifo,mafanikio,uhusiano,n.k ili mradi tu vi match na mentality yako[emoji120]
Je vinakuwa na uhalisia? Kama jibu ni ndio huo ndio muktadha wa madaMimi naamini ni muda na mapito ambayo binadamu lazima apitie kutoka kuzaliwa, kuishi hadi kufa kwake, nikiwa namaanisha muda kati ya kipindi picha inapigwa na muda ambao wewe unakuja kuiangalia kuna mengi yametokea hapo kati kati (hayakua na budi kutokea) pia kumbuka hata mentality yako itakua imebadilika hasa baada ya kusikia hii habari na kuanza kuhusianisha na unayoyaona kwenye picha, maana mara baada ya kuchukua picha automatically utaanza kupimanisha vitu vingi kama vifo,mafanikio,uhusiano,n.k ili mradi tu vi match na mentality yako[emoji120]
Mshana Jr huna post la.kutisha mida hii?Je vinakuwa na uhalisia? Kama jibu ni ndio huo ndio muktadha wa mada
Ndio si ana kiherehere.Kwamba atatangulia kabla ya mwinyi duuuuu wabongoo
Kinana kajitenga tuupe muda wakati na hata viganja vyake kafumbata tofautitafsiri ya hii?View attachment 2465007
InaogopeshaMuda utasema View attachment 2468271
Picha imejibuHaji Manara na wakezeView attachment 2418383
Halafu ni mnyonge sana.Kinana kajitenga tuupe muda wakati na hata viganja vyake kafumbata tofauti
haaa,,kweli Mzee Kinana kapishanisha vidole hapo, vya kulia vimeelekea kushoto na vya kushoto vimeelekea kulia😎Kinana kajitenga tuupe muda wakati na hata viganja vyake kafumbata tofauti
🤣🤣🤣🤣🤣Haji Manara na wakezeView attachment 2418383
rip Lodi Lofa.
Aliyemuacha Manara ndiyo yupi hapa ?