Mimi naamini ni muda na mapito ambayo binadamu lazima apitie kutoka kuzaliwa, kuishi hadi kufa kwake, nikiwa namaanisha muda kati ya kipindi picha inapigwa na muda ambao wewe unakuja kuiangalia kuna mengi yametokea hapo kati kati (hayakua na budi kutokea) pia kumbuka hata mentality yako itakua imebadilika hasa baada ya kusikia hii habari na kuanza kuhusianisha na unayoyaona kwenye picha, maana mara baada ya kuchukua picha automatically utaanza kupimanisha vitu vingi kama vifo,mafanikio,uhusiano,n.k ili mradi tu vi match na mentality yako[emoji120]