Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mshana
2d1867f604f51a7cce980c9af86a8540.jpg
 
Mm naomba unisaidie tyuu hili mengne baaadae,naota sana mara kadhaaa na kutana na nyoka wakijani mwenye uelewa wa hili jambo maana yake anisaidie
 
Picha ni sehemu ya mwili wako iliyo nje yake wachawi na waganga huroga katika baadhi ya matukio kwa kutumia picha na kinacholeta uhai uhalisia na mawasiliano ya kiroho ni sura.
Habari mkuu @mshanajr. Kuna nadharia kuwa watu ambao uliwahi ku-associate nao inatoa tafsiri ya wewe utafikia wapi kimalengo. Je kuna ukweli?

Mfano kama umeshawahi kukaa kikao kimoja au kukutana na kupeana mkono na wanasiasa mashuhuri basi ni dhahiri utafika mbali kwenye nyanja ya siasa
 
Back
Top Bottom