Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Yule mwenye tai nyekundu kule nyuma ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah
Blue[emoji117]black[emoji117]..........[emoji117]..........
Unataka kuniambia marais wakristo wote kwaheri?Tuihifadhi hii reply
Ben alitangaza kifo cha Mchonga, Magu akatangaza kifo cha Ben....Samia ametangaza kifo cha Magu... Mwinyi na Kikwete hawakuwahi kutangaza vifo...
Mbona unakuwa mkali punguza hasira, siku yako yajaHii thread imekaa kiuchawi uchawi na inazua taharuki isiyo na lazima,sote tutakufa siku ikifika,picha ni kumbukumbu tu
Kidole cha Mkapa kimeelekea kwa Mwinyi au Magufuli?
Sawa witchdoctorMbona unakuwa mkali punguza hasira, siku yako yaja
Unaujua uchawi au unabwata tu?Hii thread imekaa kiuchawi uchawi na inazua taharuki isiyo na lazima,sote tutakufa siku ikifika,picha ni kumbukumbu tu
Huyo mtu wa pili na wa tatu ni akina nani?
NabwataUnaujua uchawi au unabwata tu?
Inaonyesha kuna kitu kilimkera sana tingatinga, hadi mbowe akawa anashangaa alivokunja sura!