Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mshana Jr mbona mambo ya kawaida hayo. Sio picha tu, hata ukisikiliza miziki uliyowahi kusikiza kama miaka mitano nyuma utajiwa na kumbukizi nyingi za matokeo yaliyo kutokea wewe au watu uliokuwa nao wakati huo na kuakisi hali halisi ya sasa
Hata ya kawaida hayapaswi kuachwa yapite bila kuandikwa.. Kwa kuyaandika tunafunza wengine vitu vipya vinavyoonekana vya kawaida kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii picha imenifikirisha mno..ni picha ya miaka ya tisini tukiwa Durban South Africa.. Sisi watatu tuliokaa kwenye msingi bado tuko hai na wote sisi tuko JF.. Huyo aliyechuchumaa anaitwa Rama tolu na ni marehemu![emoji848][emoji2827]
Screenshot_20210612-101540.jpg
 
Back
Top Bottom