Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #1,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mambo sitokaa nijaribu!nadhani yatakuwa yanachosha sana na juhudi ambazo hujui lini utafanikisha!pia inaweza tokea ukaenda jumla usirudi tena kamwe!!!Yeah unaweza kufika hatua ya kutoka nje ya mwili wakati uko mwilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh ya kwenda jumla usirudi ni ngumu sana kutokeahaya mambo sitokaa nijaribu!nadhani yatakuwa yanachosha sana na juhudi ambazo hujui lini utafanikisha!pia inaweza tokea ukaenda jumla usirudi tena kamwe!!!
Kama alimweleza kuwa Bosi wake jiwe ana mitano tu ....Samia ajiandae kuichukua Nchi.. na inaonekana Samia kutoelewa MAALIM alikuwa akimaanisha nini! Kabakia kuangalia viganja na kushangaza[emoji1787][emoji1732][emoji1732]As if anamwambia kwaheri
Kuna uhalisiaKama alimweleza kuwa Bosi wake jiwe ana mitano tu ....Samia ajiandae kuichukua Nchi.. na inaonekana Samia kutoelewa MAALIM alikuwa akimaanisha nini! Kabakia kuangalia viganja na kushangaza[emoji1787][emoji1732][emoji1732]
Mshana unajua kung fu ?!Hii picha imenifikirisha mno..ni picha ya miaka ya tisini tukiwa Durban South Africa.. Sisi watatu tuliokaa kwenye msingi bado tuko hai na wote sisi tuko JF.. Huyo aliyechuchumaa anaitwa Rama tolu na ni marehemu![emoji848][emoji2827]View attachment 1816028
Na Tai chi nilicheza sana nilipokuwa kijanaMshana unajua kung fu ?!
Mm viongozi wa hizi nchi huwa wananichanganya nimeamua kuachana nao.Nimeipenda hii INATAFAKARISHA AU NI HATMA?
```USIOYAJUA KUHUSU ZAMBIA NA MALAWI KUANZIA KWENYE UONGOZI WA KENNETHY KAUNDA NA MWENZAKE DK KAMUZU BANDA
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao katika nafasi za urais kwa muda mrefu na asili zao zinatatanisha, hawaeleweki kama ni Wamalawi na Zambia. Wote Kamuzu na Kaunda walikuwa na kaulimbiu inayofanana ya “Wamuyaya” (Life) ikiwa na ishara ya mamlaka.
2. Bakili Muluzi, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kamuzu Banda. Fredrick Chiluba, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kenneth Kaunda, na wote wawili Muluzi na Chiluba walifanya jaribio la kutaka kubadili Katiba ili wapate kipindi cha tatu cha uongozi lakini walishindwa. Wote Muluzi na Chiluba waliwataliki wake zao kwa sababu ya kukosekana uaminifu kwenye ndoa.
3. Wote, Muluzi na Chiluba waliwapeleka watangulizi wao mahakamani (Dk. Banda na Dk. Kaunda).
4. Bakili Muluzi alimpendekeza Bingu wa Mutharika kuchukua nafasi yake, wakati Frederick Chiluba alimpendekeza Levy Mwanawasa kuchukua nafasi yake na wote waliwafanyia kampeni wakati wa uchaguzi.
5. Wote Mutharika na Mwanawasa walishinda uchaguzi na kuwa marais wa tatu katika nchi zao.
6. Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa marais, wote Mutharika na Mwanawasa walishindwa kuwabeba (kuwavumilia) watangulizi wao Muluzi na Chiluba. Wote wawili, Mutharika na Mwanawasa waliwapeleka watangulizi wao (Muluzi na Chiluba) mahakamani kwa makosa ya kujihusisha na rushwa. Sasa inavutia zaidi; Muluzi alishtakiwa na utawala wa Mutharika. Chiluba alishtakiwa na utawala wa Mwanawasa.
7. Bingu wa Mutharika alishinda kipindi cha pili cha uongozi, Mwanawasa alishinda kipindi cha pili cha uongozi. Mutharika alimchagua Joyce Banda kama Makamu wake wa Rais. Mwanawasa alimchagua Rupiah Banda kama Makamu wake wa Rais.
8. Mutharika alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest). Mwanawasa pia alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest).
9. Joyce Banda alichukua madaraka kutoka kwa Bingu wa Mutharika kutokana na kifo hicho. Rupiah Banda alichukua madaraka kutoka kwa Levy Mwanawasa kutokana na kifo hicho. Marais wote hawa waliochukua madaraka kutoka kwa marehemu waliitwa “Banda”!
10. Baada ya miaka 3, Rais Banda wa Zambia alishindwa kwenye uchaguzi na mpinzani wake Michael Sata. Banda wa Malawi naye ameshindwa kutetea kiti chake na mpinzani wake Peter Mutharika```...[emoji2960][emoji57][emoji2017]
Dah!!!Nimeipenda hii INATAFAKARISHA AU NI HATMA?

Mshana nakupongeza kwa mada zako nzuri za kuelimisha na fukirisha,hususani hizi za mambo yaliyofichika ktk uelewa wa kawaida wa mwanadamu.Huwa naamini kusoma sana(kuwa na elimu kubwa PhD) siyo kuelewa sana.Mengi tunayasoma ni marudio ya machapisho ya tafiti za watu kama Mshana Jr ,walofanya utafiti wao wakauweka kwenye vitabu.Kama hii mada ni mzungu alifanya tafiti akachapisha vitabu angetunuliwa ,lkn kwa sababu ni mswahili mwenzetu tunampinga.Hii ni elimu maalum yenye mengi ndani yake nakushauri anza na meditation
Hii kiufundi inaitwaje?Nimeipenda hii INATAFAKARISHA AU NI HATMA?
```USIOYAJUA KUHUSU ZAMBIA NA MALAWI KUANZIA KWENYE UONGOZI WA KENNETHY KAUNDA NA MWENZAKE DK KAMUZU BANDA
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao katika nafasi za urais kwa muda mrefu na asili zao zinatatanisha, hawaeleweki kama ni Wamalawi na Zambia. Wote Kamuzu na Kaunda walikuwa na kaulimbiu inayofanana ya “Wamuyaya” (Life) ikiwa na ishara ya mamlaka.
2. Bakili Muluzi, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kamuzu Banda. Fredrick Chiluba, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kenneth Kaunda, na wote wawili Muluzi na Chiluba walifanya jaribio la kutaka kubadili Katiba ili wapate kipindi cha tatu cha uongozi lakini walishindwa. Wote Muluzi na Chiluba waliwataliki wake zao kwa sababu ya kukosekana uaminifu kwenye ndoa.
3. Wote, Muluzi na Chiluba waliwapeleka watangulizi wao mahakamani (Dk. Banda na Dk. Kaunda).
4. Bakili Muluzi alimpendekeza Bingu wa Mutharika kuchukua nafasi yake, wakati Frederick Chiluba alimpendekeza Levy Mwanawasa kuchukua nafasi yake na wote waliwafanyia kampeni wakati wa uchaguzi.
5. Wote Mutharika na Mwanawasa walishinda uchaguzi na kuwa marais wa tatu katika nchi zao.
6. Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa marais, wote Mutharika na Mwanawasa walishindwa kuwabeba (kuwavumilia) watangulizi wao Muluzi na Chiluba. Wote wawili, Mutharika na Mwanawasa waliwapeleka watangulizi wao (Muluzi na Chiluba) mahakamani kwa makosa ya kujihusisha na rushwa. Sasa inavutia zaidi; Muluzi alishtakiwa na utawala wa Mutharika. Chiluba alishtakiwa na utawala wa Mwanawasa.
7. Bingu wa Mutharika alishinda kipindi cha pili cha uongozi, Mwanawasa alishinda kipindi cha pili cha uongozi. Mutharika alimchagua Joyce Banda kama Makamu wake wa Rais. Mwanawasa alimchagua Rupiah Banda kama Makamu wake wa Rais.
8. Mutharika alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest). Mwanawasa pia alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest).
9. Joyce Banda alichukua madaraka kutoka kwa Bingu wa Mutharika kutokana na kifo hicho. Rupiah Banda alichukua madaraka kutoka kwa Levy Mwanawasa kutokana na kifo hicho. Marais wote hawa waliochukua madaraka kutoka kwa marehemu waliitwa “Banda”!
10. Baada ya miaka 3, Rais Banda wa Zambia alishindwa kwenye uchaguzi na mpinzani wake Michael Sata. Banda wa Malawi naye ameshindwa kutetea kiti chake na mpinzani wake Peter Mutharika```...[emoji2960][emoji57][emoji2017]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]napokea kwa unyenyekevu mkubwa.. Nasema asante!Mshana nakupongeza kwa mada zako nzuri za kuelimisha na fukirisha,hususani hizi za mambo yaliyofichika ktk uelewa wa kawaida wa mwanadamu.Huwa naamini kusoma sana(kuwa na elimu kubwa PhD) siyo kuelewa sana.Mengi tunayasoma ni marudio ya machapisho ya tafiti za watu kama Mshana Jr ,walofanya utafiti wao wakauweka kwenye vitabu.Kama hii mada ni mzungu alifanya tafiti akachapisha vitabu angetunuliwa ,lkn kwa sababu ni mswahili mwenzetu tunampinga.
Kwenye hizi mada za Mshana Jr kuna mengi mapya ya kujifunza.Mimi namtazama kama mtu kwenye maono ya kipekee,ni mtafiti na mgunduzi.
Keep it up Mshana!