WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Hii tafsiri yake imekaaje!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanaaganaHii tafsiri yake imekaaje!?View attachment 1949272
OkWanaagana
Atakuja Mshana JrSamahani mhe.mshana
nipo nje kidogo ya thread lakini nimekiwa mfatiliaji mzuri wa thread zako unazoziandika na kuziandaa hapa jamiiforum hasa zile ambazo ni zakufikirisha na kustajabisha mno masikioni na machoni mwa wanaulimwengu.
naomba msaada wa kunifahamisha juu ya ndoto ambayo naiota mara kwa mara,nilikuwa na girlfriend ambaye tulipenda sana mithiri ya ndege kundi kiufupi ndani yangu alikuwa yeye na ndani yake nilikuwa mimi... mahusiano yetu yamedumu zaidi ya miaka mitatu mwaka jana tumeachana kwa sababu ambazo hazijulikani kama vile long distance relationship kuhusu matumizi baada ya kuwa mbali mkoani haikuwa tatizo kwangu nilimtizia haja zake za kifedha hilkuwa ni sehemu ya majukumu.
Toka tulipoachana hadi sasa yapata mwaka mmoja lakini nimekuwa mtu kwa kila nikilala usiku namuota ndotoni nimejaribu kuingia searching engine mbalimbali na kufuatilia vitabu mbalimbali lakink bado zijapata maana kamili ya ndoto japo sina mawazo nae lakini nashangaa ndotoni namuota najiuliza katoka wapi huyu mpaka nimuote lakini sijapata jibu.
Alafu bahati nzuri nina kumbukumbu sana na ndoto ambazo naziotaga usiku katika ndoto kama hizi za series mara nyingi inaonekana nilianza kwa kutaka turudiane tukasumbuana lakini saizi nashangaa tunapendana sana ndotoni mpaka nakula...... sio jokes ni ukweli wa ndoto ambazo nazoziota.
Tafadhari sana naomba ushauriau mawazo na nini chakufanya pia atakaye vutiwa nakaribisha maoni pia kwani maoni yako ndio msaada wangu.
Kuhusu kumove on nishamove on muda mrefu sasa...shukrani nitalifanyia kazi.Atakuja Mshana Jr
Ila pia kama umeamua ku move on na una mwanamke mwingine, concentrate na huyo mwanamke mwingine,hata hizo ndoto hutaziota Tena!! Unawaza sana huyo X wako
Asante naomba nipe muda takurudiaSamahani mhe.mshana
nipo nje kidogo ya thread lakini nimekiwa mfatiliaji mzuri wa thread zako unazoziandika na kuziandaa hapa jamiiforum hasa zile ambazo ni zakufikirisha na kustajabisha mno masikioni na machoni mwa wanaulimwengu.
naomba msaada wa kunifahamisha juu ya ndoto ambayo naiota mara kwa mara,nilikuwa na girlfriend ambaye tulipenda sana mithiri ya ndege kundi kiufupi ndani yangu alikuwa yeye na ndani yake nilikuwa mimi... mahusiano yetu yamedumu zaidi ya miaka mitatu mwaka jana tumeachana kwa sababu ambazo hazijulikani kama vile long distance relationship kuhusu matumizi baada ya kuwa mbali mkoani haikuwa tatizo kwangu nilimtizia haja zake za kifedha hilkuwa ni sehemu ya majukumu.
Toka tulipoachana hadi sasa yapata mwaka mmoja lakini nimekuwa mtu kwa kila nikilala usiku namuota ndotoni nimejaribu kuingia searching engine mbalimbali na kufuatilia vitabu mbalimbali lakink bado zijapata maana kamili ya ndoto japo sina mawazo nae lakini nashangaa ndotoni namuota najiuliza katoka wapi huyu mpaka nimuote lakini sijapata jibu.
Alafu bahati nzuri nina kumbukumbu sana na ndoto ambazo naziotaga usiku katika ndoto kama hizi za series mara nyingi inaonekana nilianza kwa kutaka turudiane tukasumbuana lakini saizi nashangaa tunapendana sana ndotoni mpaka nakula...... sio jokes ni ukweli wa ndoto ambazo nazoziota.
Tafadhari sana naomba ushauriau mawazo na nini chakufanya pia atakaye vutiwa nakaribisha maoni pia kwani maoni yako ndio msaada wangu.
Nahisi hili suala ni zito kwa sababu sio lucid dream hii utokea automatic bila hata ya kudhamiria, siku nzima nimefanya hustling zangu nimechoka lakini usiku na muota na kila ninapomuota usiku asubuhi yake najikuta kuwa ni mtu mwenye furaha sana mpaka najishitukia pia na siku yangu inakuwa very interested utadhani kama nimeshinda biko.Asante naomba nipe muda takurudia
Tafadhali naomba nisihukumiwe kwa hizi picha maana ni kwa tafsiri yangu na inaweza isiwe sahihi kwa mtu mwingine.Karibu mkuu
Picha zinaongea kwa sauti kuu ya ndaniYa pili
Juzi kulikuwa na pambano kali la uzito wa juu wa ngumi za kulipwa duniani.
Lakini baada ya kuangalia picha za matangazo yao nilipata shaka.
Bondia mmoja ameonyeshwa katika picha akiwa na hasira maybe ya pambano lakini mpinzani wake ni kama anaangalia pembeni kwa aibu fulani tofauti na tunaomjua. Na hii iliwekwa September before picha zilizotangaza hazikuwa hivyo. Matokeo yake kwa wapenzi wa ngumi wanajua huyo black alivyochakazwa.
View attachment 1973352
Nakupata vizuri sanaTuje kwenye kesi ya mzee
Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi
Salaam Wakuu, Ile kesi iliyofunguliwa na Mjane wa Marehemu Ragnard Mengi, Jackline Mengi dhidi ya Mtoto wa Mengi na wenzake watano inataraji kuanza kusikilizwa katika mahakama ya rufaa mwishoni mwa mwezi huu. Kesi hiyo ambayo ni marejeo namba 332/1/2021 iko mbele ya jopo la Majaji watatu...www.jamiiforums.com
Angalia impression ya binti anapomuangalia mzee, anatabasamu na anawaka japo taarifa inayotolewa ni - ve dhidi yake.
View attachment 1973375
View attachment 1973376
Hiyo hali huwatokea wengi hasa wale waliopendana bila sababu.. Love n sensational feelings at first glance! Mnakutana kwa mara ya kwanza hamfamiani lakini macho yenu yananaswa kwenye sumaku ya hisia kali za ndani nakujikuta kila mmoja wenu kuna sauti inatoka ndani mwake ikikuambieni huyu ndio wakoSamahani mhe.mshana
nipo nje kidogo ya thread lakini nimekiwa mfatiliaji mzuri wa thread zako unazoziandika na kuziandaa hapa jamiiforum hasa zile ambazo ni zakufikirisha na kustajabisha mno masikioni na machoni mwa wanaulimwengu.
naomba msaada wa kunifahamisha juu ya ndoto ambayo naiota mara kwa mara,nilikuwa na girlfriend ambaye tulipenda sana mithiri ya ndege kundi kiufupi ndani yangu alikuwa yeye na ndani yake nilikuwa mimi... mahusiano yetu yamedumu zaidi ya miaka mitatu mwaka jana tumeachana kwa sababu ambazo hazijulikani kama vile long distance relationship kuhusu matumizi baada ya kuwa mbali mkoani haikuwa tatizo kwangu nilimtizia haja zake za kifedha hilkuwa ni sehemu ya majukumu.
Toka tulipoachana hadi sasa yapata mwaka mmoja lakini nimekuwa mtu kwa kila nikilala usiku namuota ndotoni nimejaribu kuingia searching engine mbalimbali na kufuatilia vitabu mbalimbali lakink bado zijapata maana kamili ya ndoto japo sina mawazo nae lakini nashangaa ndotoni namuota najiuliza katoka wapi huyu mpaka nimuote lakini sijapata jibu.
Alafu bahati nzuri nina kumbukumbu sana na ndoto ambazo naziotaga usiku katika ndoto kama hizi za series mara nyingi inaonekana nilianza kwa kutaka turudiane tukasumbuana lakini saizi nashangaa tunapendana sana ndotoni mpaka nakula...... sio jokes ni ukweli wa ndoto ambazo nazoziota.
Tafadhari sana naomba ushauriau mawazo na nini chakufanya pia atakaye vutiwa nakaribisha maoni pia kwani maoni yako ndio msaada wangu.
Mimi baada ya kugundua picha zinaongea nimejikuta nakwepa sana kupiga pichaKwa nini katika hiyo picha amepunga mkono na katika picha amezungukwa na rangi nyeupe. Ni kama vile wameicrop picha na kuiweka.
Kwa mtu wa kawaida anaweza sema ni cropped but is not coincidence.
View attachment 1973363
Shukrani sana hapo kwenye mafanikio ni kweli kabisa kwa sababu mfumo wa fahamu/ sensational ubadirika kwa siku nzima tofauti na siku nyingine.Hiyo hali huwatokea wengi hasa wale waliopendana bila sababu.. Love n sensational feelings at first glance! Mnakutana kwa mara ya kwanza hamfamiani lakini macho yenu yananaswa kwenye sumaku ya hisia kali za ndani nakujikuta kila mmoja wenu kuna sauti inatoka ndani mwake ikikuambieni huyu ndio wako
Bila hata kutongozana ama kutumia nguvu kutongozana mnajikuta mmependana kwa dhati.. Wazungu wanasema you stole my heart.. Hii kitu ipo .. Mapigo yako unayaona ndani kwake...mnaonana bila hata kuwasiliana
Inapokuja break up! Huja na sababu za kijinga mno lakini kwakuwa yuko ndani kwako kila utakalofanya utakuwa umnamuona yeye , iwe ndoto marashi, chakula nknk.. Na siku ukimkumbuka kwa mema au kumuota basi hata utakofanya siku hiyo yatafanikiwa mno...!
Baadhi huweza kurudiana tena hata baada ya miaka kupita huku wengine wakiwa kwenye ndoa kabisa
Hizo ndoto zitakuja kwisha lakini itakuchukua si chini ya miaka mitatu