wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Toka niujue huu uzi. Picha nimekuwa naziepuka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wangu pekeyake ndio hajavaa kofiaNadhan wote mlisikia kuhusu kifo cha uyu kijana wa UDOM, Mungu ampe pumziko la amaniView attachment 2056695
Yea uzi wako braza unafundish na kutisha kwa wakati mmjaMungu wangu pekeyake ndio hajavaa kofia
Aliyekaa ni naniNo captionView attachment 1894696
Hii ilikua mechi ya hisani kupinga madawa ya kulevya na Rushwa, Maradona Team no to Drugs, na Michael Platini No to Corruption na katikati Peĺe.
IlikuajeNadhan wote mlisikia kuhusu kifo cha uyu kijana wa UDOM, Mungu ampe pumziko la amaniView attachment 2056695
Mkuuu nimetafsiri hapo juu,Tafsiri?
AiseeHii ilikua mechi ya hisani kupinga madawa ya kulevya na Rushwa, Maradona Team no to Drugs, na Michael Platini No to Corruption na katikati Peĺe.
Miaka kadhaa baadae , Maradona akashtakiwa kwa madawa ya kulevya, na Platini aliekua Rais wa UEFA amekutwa na hatia ya kupokea Rushwa.
Pele ambae yuko katikati yao, hajawahi kukutwa na kashfa ya madawa wala ya Rushwa
Ajari ilimtembeza uyu kijanaIlikuaje
Kanunue juisi unywe!Wapwa hii Mnasemaje?View attachment 2056581