Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Usisahau mrejesho tafadhali mi nakuonyesha moja.

View attachment 390635
Hawa ni jamaa zangu hapo ni South Africa mwaka 1996 hiyo picha nilipiga mimi huyo wa katikati ni marehemu kwa sasa na hao wengine wako Ulaya.
Huyo wa kati ana dosari tofauti na wenzake kwanza hana tiki wenzake wanazo pia wenzake wamevaa sare kwa % nyingi kuliko yeye. Kweli kunasili nzito kwenye picha
 
For future reference or else before then..!
IMG-20220511-WA0452.jpg
 
Back
Top Bottom