Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NomaWhen my father passed away his best friend for 50+ years sent me a photo of them both on a bridge in Zurich when they were both young university graduates traveling together for the very first time in their lives to Europe. A year after my father died, his friend’s daughter (more than a sister to me) and I met in Venice and we decided to take a train to Zurich and buy similar clothes to what they put on in year 1974 to try to pull off the same pose on Quaibrucke and remake their picture.
Radwa B. Ali Ingy Akoush
Credit: Nomads/ Vintage
View attachment 2277824
Hii imetimia na inaendelea Rich alianza, Harmo akafuatia, Ray tayari. Hapo docta anasema NEXTWalivojipanga Rich Mavoko alianza kutoka, akaja Harmonize, Anayemfuatia ni Rayvann je nae siku zinahesabika??
YametimiaWalivojipanga Rich Mavoko alianza kutoka, akaja Harmonize, Anayemfuatia ni Rayvann je nae siku zinahesabika??
Mi siku hizi hata naogopa kupiga picha
Aise Ukiifatilia Sana hii Unaweza Ukagopa sana.Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Dah wame tazama uelekeo mmojaHawa Ni Miongoni Mwa Watoto Wanafunzi Waliopoteza Maisha Jana Kwenye Ajali Mbaya Iliyotokea Mtwara, MUNGU Awalaze Mahala Pema Peponi Ameen..!
View attachment 2305858
Maelezo kidogo Mshana