ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wame enda kununua kofia zaoWaangalie ambao wana manywele bila kofia wako wapi leo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wame enda kununua kofia zaoWaangalie ambao wana manywele bila kofia wako wapi leo
Huu ndio uchawi kumbeWalivojipanga Rich Mavoko alianza kutoka, akaja Harmonize, Anayemfuatia ni Rayvann je nae siku zinahesabika??
Aiseeeh
Hawa Jamaa watatu ni marafiki. Wakenya Ndio wajinga.
Hili lishatimiaaWalivojipanga Rich Mavoko alianza kutoka, akaja Harmonize, Anayemfuatia ni Rayvann je nae siku zinahesabika??
TayariNa hapo anafatia rayvan
Hatari sanaHili lishatimiaa
Hii imetimia na inaendelea Rich alianza, Harmo akafuatia, Ray tayari. Hapo docta anasema NEXT
Huu uzi umeshanifanya niogope hata picha siku hizi 😂Yametimia
Uchawi upo mzee 😂Huu ndio uchawi kumbe
Leo kwenye pitapita yangu mitaa ya K'koo nilikutana na Mtu mwenye Muonekano (( Sura.. Mtindo wa Kushevu.. na Miwani )) kwenye tawira ya akili ukanijia wewe #Mr. Mshana JrInatisha sana ujue
Hapana ndugu yangu sio mimi niko mbali kabisa safarini.. Ila unajua duniani wawili wawiliLeo kwenye pitapita yangu mitaa ya K'koo nilikutana na Mtu mwenye Muonekano (( Sura.. Mtindo wa Kushevu.. na Miwani )) kwenye tawira ya akili ukanijia wewe #Mr. Mshana Jr
Upo Chato?Hapana ndugu yangu sio mimi niko mbali kabisa safarini.. Ila unajua duniani wawili wawili