Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike

Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu

  • angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
  • angalia mpangilio wa rangi au mavazi
  • angalia body language

Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk

  • wote wamekufa
  • wote ni matajiri
  • wote wameoa/wameolewa nyumba moja
  • wote tabia zao zinafanya nk

Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao

  • walikuja kuoana
  • walikuja kuwa maadui wakubwa
  • walikuja kuwa marafiki wa damu nk

Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi

Ni nguvu hiyo inayoamua:

Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini

Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu

Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii

  • angalia mfanano wa rangi za mavazi
  • body language
  • nafasi kwenye kusimama
  • umbali na ukaribu

Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?

Mambo Mengine ni fikra tu,hapo kwa lipumba,slaa,mbatia,hakuna common denominator,slaa,na lipumba wote ni pro ccm,lipumba ni mwenyekiti wa cuf -ccm,profesa,mwenyeji wa tabora ,mnyamwezi,Mbati-kaletewa figisu na mapandikizi ya ccm ndani ya nccr,ni mchaga,msomi,slaa alikuwa padre,!!
Cha upekee ni kipi hapo?
 
Vision
1659632998769.jpg
 
Wamevaa suti zinazofanana rangi, Ruto amekaa kulia mwa Kenyatta, mkono wa mamlaka au madaraka kuashiria yeye ndiye anayekwenda kuyapokea madaraka hayo kutoka kwake.

Aliyevaa suti yenye rangi tofauti ameashiria kujiondoa kwenye nafasi ya kupata urais ukizingatia amekaa upande wa kushoto mwa Rais Kenyatta kuashiria less power.
 
Good [emoji818][emoji817]
 
Bado Uhuru na Odinga wamewekewa meza katikati yao kama mpaka (meza) yaani hata kusogeleana haiwezekani but kulia kuna kipenzi cha Uhuru kiasi kwamba hata wakitaka kuteta jambo ni rahisi kusogeleana it's means hawa jamaa ni marafiki haswa wa mtimani na Odinga yupo mbali nao mpk anaingia kaburini

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom