Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame and his boys! Time will reveal the secretsView attachment 2499803
🤣🤣🤣mkuu kwanini umesema hivyo?Janja janja United
Pia ukiitizama vyema hyo picha ya SSH, Gambo, JPM na Majaliwa ukilinganisha na hii ya PK na boys wake kunajambo unaliona liko wazi[emoji1548][emoji817][emoji818]Ila huyo wa upande wa kulia wa Kagame inaonekana kuwa wa tofauti na wenzake kwa kuvaa mkumbulu mwekundu(kijeshi mkumbulu huwakilisha majukumu ya kijeshi), hatar zaidi ni pale alipo ji-position upande wa kulia maanake yeye ndo mwenye hewa(senior hapo). Na namna Kagame alivyo mtenga na hao wenzake wawili. Nimtazamo wangu. Pia ukiitizama vyema hyo picha ya SSH, Gambo, JPM na Majaliwa ukilinganisha na hii ya PK na boys wake kunajambo unaliona liko wazi kabisa.
Picha ipi?Dah picha ina siri sana
Asante ndoto njema hizo, tafsiri ya saa ni muda kuna mambo unapanga kuyafanya hivyo unakumbushwa kuzingatia mudaMkuu mshana Jr, kwanza hongera kwa maarifa mengi uliyo jaaliwa,
Naomba unisaidie ivi maana ya ndoto ya kutembea alafu unaokota saa za aina tofauti tofauti, inamaana gani pia ndoto ya. Kila ukichimba chini unatoa sarafu.
Shukran Mkuu kwa kunipa mwangaza japo sijaelewa swala la ardhi maana sijawahi jihusisha na swala la kilimo wala madini, naomba unisaidie ufafanuzi mkuu.Asante ndoto njema hizo, tafsiri ya saa ni muda kuna mambo unapanga kuyafanya hivyo unakumbushwa kuzingatia muda
Pili hilo la kuokota sarafu lina tafsiri nyingi lakini mojawapo ni kwamba utajiri wako utatoka ardhini
Madini, mazao nk lakini hata biashara zingine tunazisimika ardhini, mazao ya misitu,utalii nknkShukran Mkuu kwa kunipa mwangaza japo sijaelewa swala la ardhi maana sijawahi jihusisha na swala la kilimo wala madini, naomba unisaidie ufafanuzi mkuu.
Nimekuamini sasa wewe ni mtaalam kuliko mwanzo nilivyokufiliria.Asante ndoto njema hizo, tafsiri ya saa ni muda kuna mambo unapanga kuyafanya hivyo unakumbushwa kuzingatia muda
Pili hilo la kuokota sarafu lina tafsiri nyingi lakini mojawapo ni kwamba utajiri wako utatoka ardhini
Acha kutengeneza matukioPicha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Duh huyo mwenye white?Nimepita insta page ya waziri kaposti hii picha, nikaukumbuka huu uzi. Huyu mwenye nguo za light colour amefariki dunia jana.View attachment 2577365