Mwenyewe anasema hilo neno sio kiswahili wala sio lugha yoyote ile ya kibantu ni la kubuni tu yeye mwenyeweWachangiaji mmenisaidia sana at least nimeanza kuuelewa huu wimbo. Ama kweli penye wengi kuna mengi. Ngoja niendelee kuusikiliza tena.
Ila neno "sizonje" ni la kilugha ama ni kiswahili fasaha??
Ndio jina la wimbo wake mpya Mrisho Mpoto alieyeshirikiana na Banana Zoro. Nimeusikiliza kwa makini lakini bado sijajua maana halisi ya huu wimbo.
Huwa napenda sana nyimbo zake Mpoto, kwani zinakuwa na ujumbe mzito ndani yake ambao huufanya ubongo ufikiri, achilia mbali mtindo au staili yake anayoitumia kuwaburudisha hadhira yake..
========
Baadhi ya maoni kutoka kwa wachangiaji wakijaribu kuufafanua;
Sio soda tu..Ukitaka na vingine utapewa...Fanya msaada basi[/QUO
Sizonje ni mjomba aliyopo sasa
Nyumba-Tanzania
Makaburi-mambo yaliyopita kama escro,meremeta,rushwa tpa
Wanapita madirishani-sheria zipo ila watu hawazifatwi
Jikoni-chama alichotoka sizonje
huna haja kwenda-sio lazima uwe mwenyekiti wa chama faster faster
Harufu ya uzazi haishi mpaka mtoto akuwe-huwezi kutatua maswala ya rushwa kwa muda mfupi
[emoji2] [emoji2] [emoji125] ngoja aje aone hii comment yako utaenda ndaniHapo alikuwa anamaanisha LE MUTUZ
Naona vijana wa Mulugo hawauelewa.
Naona vijana wa Mulugo hawauelewa.
Anavaaga viatu pia nilishaw kumshuhudia akiwa amevaa viatuShikamooo Mtembea peku
We nawe..!!! uwe unaangalia umri wako na vtu unacomment bacLowassa alivyoipora chadema kwa jeuri ya pesa zake
Jamaa inaonekana alshawah kuish kabla ya kuzaliwaSizonje....hiki chumba usiingie...nitakwambia kwanini....kuna sauti inajirudia mara kwa mara....zamani palikuwa na picha mbili kuubwa mlangoni...moja ni picha na nyingine ni mchoro wa ile picha ya kwanza.
Hii kiboko
Mkuu huu wimbo mm nausikiliza kila siku asubh lakin sielewagi huyu jamaa anamaanisha nn. Nilihisi km weng wanavyohisi kwmb Magufuli anahusika. Lakin bado napata shida sana huyu jamaa katishaNimeusikiliza zaidi ya Mara 5 ila sijauulewa huyu mpoto sio mtanzania
Download bana mbn mvivu hvoMsaada wa hiyo nyimbo wakuu please. 0687440950