isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Habari, 👋🏽
Naomba kufahamu tafsiri ya zawadi inayohusu nazi (Coconut). Mtu akikupatia zawadi ya nazi inatafsiri nini katika maono au mitizamo tofauti?