Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

Ibun Sirin

Member
Joined
May 20, 2022
Posts
50
Reaction score
106
Maono mazuri ya ndoto ya mtu mwema ni sehemu ya arobaini na sita ya ufunuo au bishara, au Wahyi. Ndoto ni njia ya mawasiliano iliyobakia baina ya mambo ya Kiroho na mwanaadamu.

Baadhi ya ndoto ni njia ya mawasiliano ya kiroho. Kila ndoto huwa na maana au tafsiri yake ambayo ni muhimu kuifahamu.

Nawakaribisha, mwenye ndoto siku ya leo inayohitaji tafsiri au ufafanuzi aiweke hapa kwa comment nimfasirie.
 
Mimi hii siyo ndoto ila nikwamba nikiwa ndani kwangu tumekaa labda sebuleni huwa tunaskia maji yakimwaga chooni(public ),au mlango wa chumbani ukijifunga wakati hakuna hata upepo yaani

Msaada inakuwa ni nini? Hicho?
 
Nimeota nimezaa mtoto wa kike halafu amekua mkubwa haraka tofauti na watoto wengine
Ndoto hii inaonya dhidi ya kupuuza jukumu, kuota kuzaa kawaida huelekeza kwenye kitu kipya kinachokuja au karibu kutokea. Kitu cha kufurahisha! pia humaanisha kitu kipya kinaweza tokea hivi karibuni. Pia husahiria ustawi na furaha, kutarajia heshima na urahisi katika maisha.

Ndoto kuhusu mtoto kukua haraka kuliko wengine inawakilisha kutokuwa na hatia, udhaifu na mazingira magumu. Unahitaji nidhamu zaidi katika maisha yako. Mafanikio yako ndani ya uwezo wako.

Wakati mwingine kuna maanisha utulivu, hali ya kiroho, imani, amani, usafi, furaha na matumaini. Untakiwa kutengeneza njia ya kujikinga na mambo ambayo yanaweza kukuumiza.
 
Mimi hii cyo ndoto ila nikwamba nikiwa ndani kwangu tumekaa labda sebuleni huwa tunaskia maji yakimwaga chooni(public ),au mlango wa chumbani ukijifunga wakati hakuna hata upepo yaani

Msaada inakuwa ni nini? Hicho?
Tukio hilo linatokea mchana au usiku!? Nyumba ni ya kupanga au unamiliki? na vipi baada ya tukio hilo huenda kukagua kuhakiki nini kimetokea? Je hakuna nyumba jirani iliyokaribu zaidi na kuta zako? Tokio hilo hutokea mara ngapi kwa kipindi gani?
 
Nimeota nimezaa mtoto wa kike halafu amekua mkubwa haraka tofauti na watoto wengine
huyo ni jini mahaba
tena fnya hrka ukapate tiba
kma hujaolewa basi utasahau habari ya ndoa
ukweli huu nakwambia
 
Hii n mara ya pili naota naolewa wakati hata huyo mchumba sina but leo nmeota naolewa na kila kitu yan bado masaa machache kuolewa but sijui kilitokea nn nkawa sijaolewa na kusahau kama nlitaka kuolewa kuna baadhi ya ndugu wakawa wananikumbusha swala la kuolewa masaa machache yaliyopita imeishia wapi but nkawa sikumbuki kama nlitaka kuolewa (yan nlikuwa sina kumbu kumbu ya hilo tukio)ndugu yangu mmoja akanishikisha kama bangili nkaanza kukumbuka mlolongo mzima wa kutaka kuolewa tena mara 2 but ndoa zote hazikufanikiwa nkaanza kulia hii imekaaje?
 
Hii ni mara ya pili naota ni mfungwa (magegereza) najaribu toroka inashindikana. Nin maana ya hii ndoto?
 
Hii n mara ya pili naota naolewa wakati hata huyo mchumba sina but leo nmeota naolewa na kila kitu yan bado masaa machache kuolewa but sijui kilitokea nn nkawa sijaolewa na kusahau kama nlitaka kuolewa kuna baadhi ya ndugu wakawa wananikumbusha swala la kuolewa masaa machache yaliyopita imeishia wapi but nkawa sikumbuki kama nlitaka kuolewa (yan nlikuwa sina kumbu kumbu ya hilo tukio)ndugu yangu mmoja akanishikisha kama bangili nkaanza kukumbuka mlolongo mzima wa kutaka kuolewa tena mara 2 but ndoa zote hazikufanikiwa nkaanza kulia hii imekaaje?
huyu ni jini mahaba kma upo dar au kma utaweza kusafiri mpk dar nikupe no ya muaguaji mzuri atakusaidia

Jini mahaba hukudhuru ww usiweze kupata mume na huenda ukaposwa kabisaa ila ukaja kukataa harusi ikifika
 
Jana nimeota mdada mzuri msomali anasema na mimba yangu mm sikuwahi muona wala simjui ndoton alikuwa mtu kama nishawahi kumuona ila yeye anaongea kwa kujiamini .
 
Back
Top Bottom